No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

Chadema chama cha wachaga na wachaga wengi wezi na wabinafsi refer TRA walivyojazana, tukiwapa hawa tutajuta,
Oktoba Tunatiki✅✅
 
No aRa no iEi
 
..kuwe na MIDAHALO kati ya wanaotaka mabadiliko kabla ya uchaguzi vs wasiotaka mabadiliko.

..Ccm wanapenda kushindanisha KAULI MBIU badala ya kushindanisha HOJA.

Cc Nguruvi3, Kalamu
 
 
Hali ya Oktoba tunatiki hadi sasa round ya kwanza tu🤣🤣🤣 No reform No Election mapokeo makubwa sana kizalendo
 

Attachments

  • 20250609_191625.jpg
    42.9 KB · Views: 22
Mtibeli baada ya kuona tumeshinda umeondoa poll yaani umekimbia na box la kura
 
OCTOBER TUNA TIK
TIK YA KURA NI HAKI YAKO AMBAYO NI MALI SAWA NA DHAHABU.
ILINDE WASIIBE WEZI WA KURA KWA KUBAKI NAYO, UKIITOA UMELIWA KEKUNDU.
WANAOTIK HAWAHESABU KURA BALI WANAPITISHA NA KUTANGAZA NA HAWAJALI KURA YAKO.
WEWE HUNA UHAKIKA WA KUTUMIA KURA NDIO MAANA TUNASEMA #no reforms no election.
 
Kwa mujibu cha Chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndiyo waanzilishi,wanadai kukiwepo Mabadiliko ya Sheria za uchaguzi pamoja na katiba.wapo tayari kufanya uchaguzi kwasababu uchaguzi utakuwa huru na wa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…