Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,459
- 170,806
Mwombe radhi maana mwenzi wake yupo na tezi halijawa dume. Hata kama ingelikuwa hivyo sivyo michepuko si ipo mpaka ajikaze?
Hamna cha uzungu wala nini.
Take action now, ukishazaa wanao watateseka.
Pole sana ndugu yangu.Hapo tayari umeishafanya kosa kama unaweza kuliepuka kabla hamjaanza process za ndoa bora umwambie tu kuwa haujampenda toka moyoni kuliko kujitesa
action gan unayoisema?
Kama humpendi mtu humpendi tu, hakuna cha mbele wala katikati.
Unadhani wamkomesha furani kumbe wajikomesha. Pole bidada maji umeyavulia nguo mwenyewe yaoge tu.
Nlifuatilia ndoa za wahindi....kuanzia hapo naamini You can build love with anyone....ni jinsi tu utavyoutune moyo wako....Moyo ni kama sponji ukilitia kwenye maji machafu ukikamua litatoa maji machafu, ukilitia kwenye maziwa ukikamua litatoa maziwa....
Just fill your heart with love....utampenda tu....
siuondoke maana km gundu ushatoa
mkato wa chumba ushauona
Ni mpole kweli yaan
Mkuu neno zuri kabisa umempa dada yetu! History yake inaumiza kwa kweli! Nashangaa kuna watu humu wa comment kwa kejeli yaani ovyo ovyo tu!Mi kitu cha kwanza napenda nikupe pole sana kwa kupenda alafu ukaishia kupewa ahadi zisizotekelezeka, hiyo ipo sana katika maisha mdada, lakini bado hujachelewa, kuolewa na huyo guy usijilaumu sana ukihisi umekosea nooooo, kinachokuponza ni kufanya comparison alafu inaonekana ulikuwa una kitu tunaita over expectations, hii ni sumu kwenye mapenzi mdada, utakuwa na tamaa bure make ulichohisi hukipati then utacheat alafu hiyo ndo itakuwa mbaya zaidi, nadhan huyo guy si rafiki yako kwa maelezo yako bali ni mmeo, hili ni kosa kubwa sana, mfanye awe rafiki alafu kaeni chini, mueleze ni jinsi gani unataka awe ili umpende zaidi, una nguvu na mamlaka ya kumfanya mtu awe kama unavyotaka wewe.
Ukifungua mdomo ndo utakuwa mlango wa furaha katika ndoa yako ila kwanza mlete karibu yako kwanza kwa kunfanya rafiki yako kwanza. hayo mambo yanatokea sana katika maisha ila unayo nafasi ya kufanya marekebisho.
Riser.
Pia siku ya kwanza tumeonana alichoniuliza ni kama nimepata ujumbe wake,nikajibu ndio!na aliniuliza kama nina mtu ninae mdate,nikasema hapana!hakutaka kujua profile yangu na mimi pia sikumuuliza yake kwasababu nilishaambiwa na mdogo wake!na yeye kunioa ilikua sio kwasababu alinipenda ila ni shinikizo la wazaz wake kua anatakiwa aoe kabila fulani,na yeye alisema amechoka kabisa kwaio yoyote ambae mdogo wake atamletea basi atamuoa huyo!
Pia nina hisi na yeye anafeel the same kama mimi,kwa jinsi tunavyo ishi!ila ndio hivyo maji tuliyavulia nguo wenyew shart tuyaoge!
Wadada narudia tena msije fanya mistake niliofanya mimi maana inatesa sana!
Samahani kwa mwandiko
Yaan kama ulikuwepo my dear nilotak kumkomeaha huyo mtu mana alinambia hakuna mwanaume atakae nioa!yaan nalia kila siku aisee basi tu
Nimeolewa mwezi wa tatu mwaka huu jullie
Amesema anatamani angekuwa mzungu atengue ndoa ili awe happy. Hapa kuna mawili. Kutengua ndoa na kuamua kukaa kwenye ndoa and make it work.
If it were me Karucee sing'atuki ng'ooooo. As long as the man is treating me right, respects me and he is God fearing. I would fight to make it work.
But thats just me Karucee. I am not so demanding and I try to make the best of everything.