No one can afford me

No one can afford me

Status
Not open for further replies.
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache

Hata maiti ipo expensive kuliko wewe!! kama hujawahi kufika bongo huwezi kulijua jua lake,
Nextime wajibu hivyo hao wanao ku PM sio unatujazia tu mada hapa ubaoni bila sababu ya msingi, alafu madem kama nyie ndo wale waleee ambao hata hamjielewi helew!!!
 
Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).

Vizuri ulivyokumbuka kuweka hayo mabano maaana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Unatania lakini kuna kaukweli. teh teh
Kama ulivyoweka eksepsheni kwamba sio wote!!

Mweeh ngoja nijiondokee mie nisijeambiwa kutoa ushahidi.

Kipipi umeingia pabaya mweenyewe leo
 
kwani hao wanaume zaidi ya 120 uliyokwisha kutembea nao
wana tofauti gani na hawa wa humu jf?
 
Wenzako hata mambo tu hawapewi....u'r luck bi..hct
 
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Zahra White ... kuwa expensive ni kutolijua jua la Bongo? ...I guess you have your own definition of being expensive!
 
Last edited by a moderator:
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Mara ... ''NO ONE CAN AFFORT ME'' .... mara ''PM ZOTE ZINAENDA KWA E-MAIL YA MUHESHIWA'' .... Kumbe unaafodika tu... kwani huyo muheshiwa ana nini nasi tushindwe tuna nini..?? mimi nilidhani huna mtu kwamba wote tumekushindwa na umebaki peke yako...???
 
Maradhi tupu haya hamna cha kuafford wala kuaffordiwa yote kwishney.
 
Mara ... ''NO ONE CAN AFFORT ME'' .... mara ''PM ZOTE ZINAENDA KWA E-MAIL YA MUHESHIWA'' .... Kumbe unaafodika tu... kwani huyo muheshiwa ana nini nasi tushindwe tuna nini..?? mimi nilidhani huna mtu kwamba wote tumekushindwa na umebaki peke yako...???

hahaaa we Ngalikihinja huyu alisema ametembea na wanaume 120 hasi sasa
sasa nashangaa amekuja kivingine leo eti "No one can afford me"
 
Last edited by a moderator:
mzushi tu huyooo... nani amtake? au kisa avatar ya uongo uongo

hiyo nzuri yaani au azidisable tu pm tatizo nae mashauzi kibao wanaume wenyewe wa humu wakware.
Aache mashauzi aone wenzake tuna miezi hatupokei pm
 
Mrembo by Nature .....! na naeingiza pesa kupitia hapa jf....?

Back
Top Bottom