Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
hapaa sugarmamy sitaki.. na mapenzi yenyewe siyataki....
ila mzima dada?
ila mzima dada?
Hujapata sugarmami wa kukulea?
Hujapata sugarmami wa kukulea?
hapaa sugarmamy sitaki.. na mapenzi yenyewe siyataki....
ila mzima dada?
marahabaa Mrembo by Nature
nafurahi kusikia u mzima wa afya!
Poa poa, endeleza kujenga taifa mano
hiyo nzuri yaani au azidisable tu pm tatizo nae mashauzi kibao wanaume wenyewe wa humu wakware.
Aache mashauzi aone wenzake tuna miezi hatupokei pm
taifa twalijenga, wachache walibomoa.. tutakua tunafaya kazi ya kumpigia mbuzi gitaaa
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Hahahaha ila kama wabomoaji wachache kuliko wajengaji then wajengaji wanaweza kuzidi nguvu
hao wabomoaji ni wachache, ila wana nguvu kuliko ufikiriavyo, yai mmbomoaji mmoja ni sawa na idadi ya watu wa mko mmoja kama wa katavi ... uadhani leo hii king maker akiamua kututia adabu atashindwa?
Hapo sasa, jipeni moyo one day yesss
Hakuna mwanamke expensive, kila mmoja ni affordable, kumbuka mwanamke hashawishiwi na hela na mali bali na uwezo wa kudundwa... wewe sema tu umeolewa unajiheshimu basi watu wanaweza kukuelewa, sawa dadangu..??hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
hadi ifike iyo one day... acha mie nijikalie pembeni nikichukia sito itendea vyema nafsi yangu.. maana ina mengi inahitaji niifanyie
Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).
Huu ugomvi wa magreda
Utabondwa hadi ufe kwa maneno tu
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Toka nizaliwe naambiwa one day yes, ila haifiki tu
Endelea kuisubiri Mrembo by Nature
acha niifwate huko huko nikiikosa nabadiri na urai wa nchi
Umeona hayo mabano??