No ndoa kisa hajui ku do

Mi ndio hapo huwa najiulizaga, hivi ku do kabla kuna faida au hasara, maana huyu mdada angebana asubiri waoane jasho lingemtoka...
 
Ndiyo maana kwenye mechi za majaribio wanaume wengi huwa wanakunywa vidonge vya kuongeza nguvu(viagra) au mkulyati , halafu anapiga mti hadi demu anatubu kwamba amekoma, baada ya ndoa mtalimbo unakuwa hausimami kama awali kwa kusingizia stress hapo ndiyo utata ndani ya ndoa huanzia!!!mnenipata??????
 
duh! Wanaona wadada nanyi mmepata uwanja wa kuponda lol.
Ngoja babu Asprin aje kuwapa somo.
 
Jamaa alijua mapenzi ni ku-piiiz...bao kumi? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Duh sasa kama jamaa amechanganyikiwa kabisa mpelekeni hospital kwanza mambo ya ushauri ni akishapona
 
hahaha nimeipenda mada wapi boss?wap ivuga ?etc?wanaume mmezoea kuchonga sana kuhusu wanawake haya sasa jielezeni kwa nini mnawafanya wenzi wenu vyoo
 
huyo jamaa anakamia game, inaonekana hana maandalizi yeye ni kama kuku. akitulia mambo shwari
 
Aha aha aha!jamani huyo jamaa hana tatizo lolote isipokuwa naye hana experience ya kutosha au ana siku nyingi kafanya haya mambo.kwa wanaume watakubaliana nami kwamba unapokuwa unaanza haya maswala au kama una siku nyingi umeyafanya basi unakuwa easily excited na ni rahisi kumwaga wazungu mapema.wakati mwingine hata kabla ya kumuingizia mwenzio kifanyio.waweza kwenda mara nyingi tu lakini hakuna unayoenda zaidi ya dakika 5.Ufumbuzi ni mwanamke kuelewa chanzo chake na asimkejeli kwa njia yoyote maana itamsababishia negative feedback matokeo yake matatizo haya taisha au atashindwa kupandisha mtungi kabisa(performance anxiety).Suluhisho ni kwamba apraise tu kwamba ni kidume ajitahidi tu ili impe muwasha washa wa kufanya nae mara kwa mara,kama issue ni ukosefu wa experience,basi ataipata,hivo atakuwa anaenda kama mara 3 tu lakini atleast round ya 2 na 3 inaweza kuwa sustained atleast for 20 minutes.Kama issue ni kukaka muda mrefu bila ku do,basi level za excitement zitashuka na ataperform vizuri tu
 
Wewe sindio mpatanishi, hebu patanisha hapa, kaka wa watu kachanganyikiwa, mshauri afanyeje

Ram mm namshauri dada atafute kwanza suluhisho ndoa iwekwe kando kwanza. Mana asije akaolewa then akashindwa kuwa satsified na kuishia kucheat.
 
Me huwa mara nyingi kama co zote humu huwa mpitaji tu, ila kwa hili nimsaidie mwenzangu coz wanaume wote ni ndugu ndo maana mkewe anakuita shemeji.
Kitu cha kwanza jamaa ana matatizo makubwa sana ya tumbo, kuna tatizo linasababishwa na kujaa kinyesi kwny utumbo mkubwa hiyo inasababisha underperformance ya hali ya juu, na dalili za hii kitu ni sometimes ukienda toi watoa myukac badala ya kinyec, kuna njia rahic ya kutatua ilo tatizo which after kupona naamin huyo mdada hataamini coz jamaa atakua anapiga la kwanza baada ya 20 min.
 
Back
Top Bottom