sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,497
- 2,916
Mtandao leo upo down hasa voda ndo imekuwa chenga
Simple way weka flight mode kisha baada ya sekunde 5 weka off enjoy your internetWakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasomaView attachment 3448833
Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki.
Shida ni niniView attachment 3448835
salio la kifurushi View attachment 3448837
Mkuu hili tatizo limeibuka tu from nowhere. simu ilikua sawa kabisa kabla.Fuata ushauri wa juu kwanza Voda wap ama voda web ikiwa imesetiwa kama Apn inaweza sababisha hilo tatizo.
Unatakiwa kwenye apn uweke internet
Cheki na tarehe pia mkuu, huu ulimwengu wa ssl tarehe ukikosea site nyingi hazifunguki.