Unatumia simu ya aina gani?
Umejaribu kujaza APN?infinix Hot 11 play...
Na bando nilikuwa nanunua la mwezi bila shida naingia mtandaoniView attachment 3448854
Fuata ushauri wa juu kwanza Voda wap ama voda web ikiwa imesetiwa kama Apn inaweza sababisha hilo tatizo.
Jaribu huu ushauri.Utakuwa umewasha data limit nenda kazime au ongeza maximum ya juu zaidi
NAKAZIA hapa..Reset network settings
Labda unamsikiliza PolepoleWakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasomaView attachment 3448833
Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki.
Shida ni niniView attachment 3448835
salio la kifurushi View attachment 3448837
Labda katumia wi-fiHumu umeingiaje Kama ni no internet??? Au unatuona Kama matako yako.