No comment

Kuna mmoja hivi alikuwa fundi pikipiki mitaa yetu alikuwa mtundu sana ,mala asimame huku pikipiki ikitembea mala,mala ageuke nyuma mala apige pushup akawa maarufu sana.
Taarifa ziliwafikia polizei wakaanza kumsaka,alipotea ghafla, alikuwa fundi mzuri sana sasa sijui kwa nini alikuwa anafanya hivyo vituko.Sijui alikuwa anapiga ile kitu.
 
Polizei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…