Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

36info

Member
Joined
Nov 17, 2025
Posts
12
Reaction score
36
Mwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!.

Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni.

Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy Dimpoz kujihusisha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili.

Hata hivyo, Ommy Dimpoz akiongea kwa simu na MaiTV, alisema ameamua kumsamehe Dudu Baya na hana mpango wa kumfungulia mashtaka licha ya kushawishiwa kufanya hivyo.

Tunafanyeni Kazi Jamani 😁(JPG).jpg
 
View attachment 3676627
Hili lijibaba ni lijishoga
 
Mbona unamtetea sana?

We mtu tangu kukua kwangu scandal ni ileile kwani ana kasoro gani asemwe yeye tu?
Simtetei mi ni msanii wa mziki naonhea kitu nilicho na idea nacho, SISI wasanii maisha na appearance YETU physically ni simple kubambikiwa ushoga, mfano kuchoma nywele, kujicream, kujipodoa yote hiyo ni harakati za kupendezesha taswira kwa mashabiki mana mashabiki wao wenyewe ndio hutuwekea matabaka huyu ni msanii makubwa huyu ni mdogo,
 
Soma tena ulichoandika, kujipodoa?

Huyu ommy kaanza kusemwa hivyo niko o level mpk leo ni miaka mingi sana, na hakuwa na lolote zaidi ya huo muziki, ingekuwa kaanza kusema slivyojipata tu ningeona anaonewa!
 
Ni msanii Gani ana shuti au kupiga picha bila kujipodoa? Si msanii tu ushawahi kufanya interview kwenye media kubwa? Lazima wakupodoe unatengenezwa kwanza huendi TU kusimamisha kwenye kamera tu unaandaliwa sasa huko si kupodolewa seran vipi, hiyo Haina shida yote hiyo nikuweka sawa muonekano wa taswira Yako ili mashabiki wakuweke kwenye kundi zuri, ndio sababu unimuona msanii kwenye kamera ni tofauti na ukimuona hadharani
 
Soma tena ulichoandika, kujipodoa?

Huyu ommy kaanza kusemwa hivyo niko o level mpk leo ni miaka mingi sana, na hakuwa na lolote zaidi ya huo muziki, ingekuwa kaanza kusema slivyojipata tu ningeona anaonewa!
Huenda ni kweli ana shida za nguvu za kiume, ila kujihusisha na kuwa chakula nina wasiwasi nae. Huenda kashindwa tu kuzalisha maana kawa kwenye mahusiano mpaka na wakina wema sepetu ila inaonekana alikuwa na shida ya uzazi.
 
Kuna kipindi alipata mtoto wake wa kwanza, sijajua waliishia wapi, ommy ni msiri, Zanzibar paje beach Alisha onekana na pisi ya kwenda hatari lakini hata hakupost
 
Huyo anafanyaga private ili asiulizwe kuhusu kuzaa watoto. He's happy on the outside ila nje atakuwa the most depressed one. Imagine crew yako yote wamesha oa na kuzaa watoto.. Huwezi kukaa unakuwa happy ma watu wanakuzishia wewe chakula?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom