No +255068410070 ????

Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.

mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.

nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi

tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700

Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia

watu wanaoweza kukupa msaana ni Telephon service provider wako. Lakini hizi kampuni za bongo hazina msaada kwa wateja. Kuna kitu inaitwa Last Call Return. Waulize kama wanaweza kukupatia ata kwa gahrama kiasi unaweza kumjua huyo msumbufu. Inawezekana ni Automatic caliing number ya kampuni moja ya simu kufanya promotion. Wapigie uwaulize waambie wakutoe kwenye list yao

Unaweza kurekodi muda unaopata hiyo simu waulize pia Telephone service provider wakupe info au kama wanaweza kuiblock hiyo number.

Lakini kama anatumia intenet kukupigia itakuwa kazi sababua number fake za internet zinaweza kubadilika. Ila ukijua Internet telephne service provider wake( eg skype, yahoo, smsdiscount, etc) basi hata huyo jama unamdaka.

But inaonkena hiyo ni automatic calling mashine lakini haikuja yenyewe kuna mtu ameiweka kwa malengo yake. Je akipiga simu anakuuliza maswali tofauti tofauti kila mara au anakuuliza maswali yale yale.?
 
hii no niyakwenye internet na wanaoweza kusaidia ni service provider ila mpaka wakusaidie mh
 
hivi hakuna jinsi kuomba tuinunue ile TTCL wenyewe tuiendeshe kisasa maana bila kuwa na mtanzania kwenye hii sekta magabachori watatusumbua sana.

Magabachori ndio sera ya chama tawala. infact haujakatazwa kuanzisha kampuni yako ya mawasiliano. so wacha unafki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom