Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

Well nmekuelewa .......

Niivi ,, sijui kwa wengine ila kwangu Mimi Putin ,naweza sema wanawake wahumu asilimia kubwa makando sana tena sana ,,( MF..niyule nayesema amegongana na wanaume wanne humu nabado akataka nimle ) hili nikando ..nakando hili nisababu ya Ufake Wa ID ,, Je unadhan hao Jamaa wamejijua ??

Tuendelee ,, Wanawake wahumu mmejiweka ktk mazingira ambayo ,siwafichi ,ukweli nikwamba ,mazingira mlojiwekea humu mmeonekana km watu easy yan hamna mipaka ya maneno ,hamna mipaka ya kuishi sawa na mazingira yaliyopo , ndio maana Leo mtu atasema *Jf imenipa mume*....wiki tatu zijazo * Wanaume Wa JF niwashenzi*.

Siwalaumu wanaume ,,Mimi hapo nakulaumu wewe.....chukulia mfano ,,Nyuzi zako toka umejiunga unazungumzia wanaume tu mfano ** wanaume hamtupapasi .....wanaume hamjui kunyonya kisimi..wanaume hamjui kutiaa....

Baada ya Muda ,,unatafuta Mwanamme humu humu ,,Ivi iyo niakili??? Yes nitakuja ila kwanza nitapitia post zako ..nitagundua unamakando makando ,Basi nitakuja ,nakula mzigo naamsha.

Wanaume niwatu wanaojifunza kupitia walichokisikia ,kukiona toka kwako

KWA SISI WANAUME.
aaahhhh makando kando yetu tulonayo niseme sio makali sana yakushindwa kuaminika humu ...

Nmepitia post nyingi na koment zawatu...mtu km Gudume ,, post zake waweza sema jamaa nimtu Wa wanawake sanaa lkn sio nabado anauwezo Wa kuaminika humu.

Sasa bana kuna mdada yeye toka kajiunga JF nikuongelea Ngono tuuuuuuu chaaaaa...unadhan huyu atapata Mwanamme toka humu wakuoa ??? Sana ataishia watumiaji tuuu ndomaana saanyingine wanamtusi tuu.

Kwaufupi ,,Wanawake makando kando yetu nibalaaa tena balaaaaaa.

Aya kadada kamoja ,oohhh Putin wewee. Nimstar nataman *Unioe lkn kuna mtu pia yupo Arusha naye anataka kunioa, ila wewe ndo natamani unioe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliishia kuchekaaaaaa toka siku iyo sikumtafuta tenaaaa ,,akaishia kuja kuniandikia Bongeeeee laudhi...HAYA YOTE NISABABU NILIMUONA ANAMAKANDO KANDO.

samahan kwa andiko lefu.
Putin kuna kitu nahisi haukijui au unakijua ila kinakuumiza, ukifuatilia maandiko yako unayoponda the so called "wanawake wengi", mifano yako huwa inajirudia, yaani ni ile ile na hawazidi watano. Sasa sijajua hiyo " wengi" huwa unamaanisha nini. Alafu tambua kuna wanaume wenye id za kike humu na wanajitanabaisha kama wanawake.

Kuna vitu unaweza kusoma na ukagundua tu kupitia maandishi kuwa mwandishi japo anajitanabaisha kama mwanamke ila uandishi wake sio wa kike(unaonekana mfuatiliaji sana hivyo hope hilo unalijua).

Kuhusu suala la kufuatilia post za mtu endapo atakufuata, hilo suala lipo kwa jinsia zote, na nafikiri hutokea automatic tu. Na unapokutana na post za hovyo hovyo yaani unapotezea tu. Kwahiyo msipost ujinga mkifikiri nyie mko safe hata kidogo. Lasivyo utawavuta wa aina yako hiyo hiyo na usitegemee mwanamke wa maana na anayejitambua akavutiwa nawe just beacause wanaume wana "choices" nyingi.

Kama hauna chuki binafsi basi haina haja ya kuhubiri/kuchafua kundi kubwa la watu kwa makosa ya wachache.
Siku zote jambo baya linatembea kama moto na mazuri hufunikwa. Kuna watu humu wamepata wake na waume wema kabisa kama vile tu ambavyo waloibuka na maroroso pia wapo.
 
Espy niivi mpaka nmefikia hatua ya kuponda sio sababu ninachuki ..nakwann ??? Nanani humu wakumchukia ?? Nakwakipi ??? Nakwalipi ?????.

Kwanza nielewe.HUMU HAMNA MWANAMKE NINAYEMWONEA WIVU OOHHH SIJUI NAMTAKA NOOOO WALA HAMNA MTU NINAYEMCHUKIA.

nielewe ivo.

Chapili , nisiseme sanaaa ,,ila kwaufupi narudi Mimi km Mimi ningekua mlaji ,, ningekua nmekula mpaka labda uume umeisha.

Kwan huyo mdada alokua alokua ananitaman and still anamtaman Wa arusha ,,Uliwahi sikia maelezo yake ???.

Alafu sure ,, chukua sampo ya wanawake 10 Wa JF Randomly wafanyie kautafiti ,utagundua niwanawake 2 tuuu ambao wanajielewa na kujitambua..ndio maana kundi hili niwachache.

Shortly nikwamba ,wanawake wengi Wa JF wanamakando ..niwachache tu wanaojitambua naambao Mimi nawahesabu km 0.0006% sasa kimahesabu hiii niidadi ndogo sanaaa.

Ndio maana ,, sio Mimi pekee ,,Bali niwengi wanaume wanaosema *Wanawake Wa JF nishida *.

Mwingine alifikia siku akasema *** wanawake Wa JF mtusamehee ,sisi wanawake tunaowatambua niwale wakushuka 1980**

Sasa hii implication yake ni nini?????. Utagundua kumbe wanawake wengi Wa JF wameanzia 1981 nakuja juuuu nakutokana nahilo nakile kinachoendelea humu JF kwakiasi fulan kimefanya wanaume wawachukulia ivo ivo kiwepesi wepesi .
 
Uongo mtupu weka screenshot za wasup tuone mlivyopendana
Bangi na punyeto zitawaua mwaka huu
 
Teh teh teeeeeh!! Juzi ulisema 25% ndio wanajitambua, leo % zimeshuka zipo chini ya 1, makubwa haya!!!
Kama ulikuwa haujui basi humu kuna utani wa jadi kati ya wanaume wa jf na wanawake wa jf, kwa maana hiyo story nyingi humu huwa ni za kutunga, chache sana zenye ukweli. Na hiyo campaign ya kuchafua wanawake wa jf mmeianza nyie new members zaidi. Kuanzia 2015 kupanda juu. Na mifano mingi pia huwa sio ya kweli ni ya kunogesha tu ili kile asemacho mtu kionekane kina ukweli ndani yake.

Na mara nyingi wanaofanya hivyo seems wana machungu yao hivyo kuwachafua wenzao kunawapa releaf maana sidhani kama mtu uko sawa utafurahia kumuumiza mwingine.

Hivyo kama ambavyo watu ktk jamii hawawezi kuwa sawa woote, ndivyo utegemee na humu pia huwezi kuta watu wote wako sawa. Kama ambavyo kuna wanaume wa hovyo sana humu tegemea kukutana na wanawake wa hivyo pia na kinyume chake.

Jioni njema.
 
Hahaha ,Nimekuelewa, wahusika wamepata ujumbe
 
Alafu kwanini wewe tu unalalamika kufuatwa sana na wanawake wa humu, kuna nini cha zaidi!! Hebu chunguza hilo pia. Maana kumbuka ulisema haufuatwi na wanawake tu bali hadi mashoga.

Jaribu kuliangalia hilo pia kwa jicho la tatu kabla haujachafua kundi kubwa la watu kwa story mnazotungiana kwenye magroup yenu ya whatsapp huko.
 
Aiseee kuna haja sana ya nyinyi wanawake kutazama upya njia nzenu vizuri nakuona wapi mmeishia .

Kinyume nahapo ,,kuna watu humu wataishia kutumika tuu mipaka nenda miaka rudi.

ALAFU NIKUAMBIE KITU ,BABU YANGU ALINISISITIZA SANAAA ,,NIPENDE KUMSIKILIZA MTU ANAYEONGEA WAKATI WA ""UTANI"" NA WAKATI WA "HASIRA" maana hapo ndipo ukweli unapotoka.

Nani kakudanganya mtu anaweza kutania kitu chakufikirika nahajawah kukiona ??? NANI ???.

Waandishi tuuu wavitabu wanatumia vichekesho ,kejeli ,UTANI ,kuikosoa jamii ,na tunawaelewa ,SEMBUSE TUDHARAU WAANDISHI WA JF ?????? NAWAKT UCHAFU WANAUONA ?????.

aya ooohh 2015 ....Sasa kwatarifa yako nihii ,kadiri miaka inavyoenda ,wanawake mnapoteza uanamke wenu nakua watu mnaoendeshwa na miili nahormone na mazingira lkn SIO AKILI....
Na wanawake wachache tu hao 0.0006% ndio wanaofanikiwa kukubalika najamiii.

HUJIULIZI KWANN LEO WANAKE ANAFIKA MIAKA 30 BILA KUOLEWA ????? ZAMAN WALIOLEWA HATA SINGO MAZA ,,UNAHISI KWANN WALIOLEWA ?????.

LEO HII SINGO MAZA NAYE KUOLEWA NIBAHATI ,UNDHAN KWANN???.

kwaufupi nihivi ,, Wanawake Wa JF haya mnayoyaonyesha humu ndio hata mnayoyafanya huko....SASA BASI KULIKO KUJIFANYA HAMUONI UKWELI ,,KAENI KIMYA ,CHUNGUZENI WAPI MMEKOSEA MJIREKEBISHE..

labda kwa taarifa yako mkuu.....humu JF wanawake wale mawengeeeeeeee ndio wanajulikana sanaaaaaaaaaaaa LKN wanawake walozaliwa kua wake wao wanajulikana lkn kwa chini chini...( Akisema nikidogo nahapayuki , akiandika Uzi yaaan wewe mwenyewe utasema *HAKIKA HAPA NDANI YAKE KUNA MWANAMKE*.

LKN KUNA MTU AKISEMA/AKIANDIKA ..MIMI NDO KABISA NISHAFANYAJE???????????? DHARAU.
 
Nipe namba yake ili nijue cha kukushaur baada ya kuona mwelekeo wake
 
Putin suala la kuangalia njia zetu kila mmoja anapaswa kuangalia njia zake, na hii ndio ilikuwa point yangu tangu awali maana mwenzetu unaona wanaume ni malaika na wanawake ni shetani la mguu mmoja. Haujasikia malalamiko kuwa WANAUME wanaelekea kuisha!! Na hapo siongelei "kufa", na kwa bahati mbaya mwanaume ndie kichwa cha familia.

Hivyo wakati unachafua wanawake naomba utambue tu kuwa nanyi sio wasafi hata kidogo, hivyo kila mmoja anapaswa kuangalia njia zake. Kabla haujatunyooshea vidole, tengeneza njia zako.
 
Alafu kwanini wewe tu unalalamika kufuatwa sana na wanawake wa humu, kuna nini cha zaidi!! Hebu chunguza hilo pia. Maana kumbuka ulisema haufuatwi na wanawake tu bali hadi mashoga.

Jaribu kuliangalia hilo pia kwa jicho la tatu kabla haujachafua kundi kubwa la watu kwa story mnazotungiana kwenye magroup yenu ya whatsapp huko.
Sasa swali lako mbn limekaa kiwivu na roho mbaya ??.

Weee ulivyokua binti ,,kwann wanaume walikua wanakutongoza ?????.
Wewe wanaume wanavyokufata PM nisababu gani ??? kwaiyo naww unapaswa kujiuliza ????.

Swali limefanya nisikutofautishe na binti aliyepo ktk umri wa kuvunja ungo.

Niseme Mara mangapi watu wanapenda maandishi yangu nakomenti zangu na post zangu ??? Niseme Mara ngapi ,,elimu nazotoa humu ,,kuwapa watu myoyo nanguvu kupitia maneno yangu ???? Niseme Mara ngapi licha nawaponda lkn kwa kua mnapenda tuvimaneno tuzuri lazima msahau ????. Niseme Mara ngapi ,,wanawake wahumu mnaamini Mimi nimzuri kitandani ??? Niseme Mara ngapi ,kuna watu wananifata PM niwape ushauri wa let say ,Mambo ya uzazi lkn mambo yanabadilika ??? Wewe sikuna siku nmesema ,wale gay walikuja kwanjia ya kutaka niwaeleze namna ya kulast on bed ?? Lkn kila nikiwaeleza wanajifanya hawajui ,,kisha wakaanza ,,*unaonekana una mbooo nzuri yafaa kunyonywa ???.

SASA SWALI GANI ??? ..NGOJA NIKURAHISISHIE ,, KILA ANAYENIFATA PM ANAKUA NASABABU YAKE ANAYOAMINI MIMI PUTINI NAWEZA KUMSAIDIA....upo.
 
Aiseee kuna haja sana ya nyinyi wanawake kutazama upya njia nzenu vizuri nakuona wapi mmeishia .

Kinyume nahapo ,,kuna watu humu wataishia kutumika tuu mipaka nenda miaka rudi.

ALAFU NIKUAMBIE KITU ,BABU YANGU ALINISISITIZA SANAAA ,,NIPENDE KUMSIKILIZA MTU ANAYEONGEA WAKATI WA ""UTANI"" NA WAKATI WA "HASIRA" maana hapo ndipo ukweli unapotoka.

Nani kakudanganya mtu anaweza kutania kitu chakufikirika nahajawah kukiona ??? NANI ???.

Waandishi tuuu wavitabu wanatumia vichekesho ,kejeli ,UTANI ,kuikosoa jamii ,na tunawaelewa ,SEMBUSE TUDHARAU WAANDISHI WA JF ?????? NAWAKT UCHAFU WANAUONA ?????.

aya ooohh 2015 ....Sasa kwatarifa yako nihii ,kadiri miaka inavyoenda ,wanawake mnapoteza uanamke wenu nakua watu mnaoendeshwa na miili nahormone na mazingira lkn SIO AKILI....
Na wanawake wachache tu hao 0.0006% ndio wanaofanikiwa kukubalika najamiii.

HUJIULIZI KWANN LEO WANAKE ANAFIKA MIAKA 30 BILA KUOLEWA ????? ZAMAN WALIOLEWA HATA SINGO MAZA ,,UNAHISI KWANN WALIOLEWA ?????.

LEO HII SINGO MAZA NAYE KUOLEWA NIBAHATI ,UNDHAN KWANN???.

kwaufupi nihivi ,, Wanawake Wa JF haya mnayoyaonyesha humu ndio hata mnayoyafanya huko....SASA BASI KULIKO KUJIFANYA HAMUONI UKWELI ,,KAENI KIMYA ,CHUNGUZENI WAPI MMEKOSEA MJIREKEBISHE..

labda kwa taarifa yako mkuu.....humu JF wanawake wale mawengeeeeeeee ndio wanajulikana sanaaaaaaaaaaaa LKN wanawake walozaliwa kua wake wao wanajulikana lkn kwa chini chini...( Akisema nikidogo nahapayuki , akiandika Uzi yaaan wewe mwenyewe utasema *HAKIKA HAPA NDANI YAKE KUNA MWANAMKE*.

LKN KUNA MTU AKISEMA/AKIANDIKA ..MIMI NDO KABISA NISHAFANYAJE???????????? DHARAU.
Nikuulize kitu, wewe unajichukulia kama mwanaume wa aina gani?
 
Oa sasa Acha Longo longo Mkuu.

Habari zenu wadau!

Kama kichwa kisemavyo, nilikutana na binti kwenye group la WhatsApp tukaahidiana kukutana na ikawa hivo,nilijikuta nampenda sana na yeye mwanzo alionesha ana nipenda sana lakini baadae akawa MTU mwenye ratiba zisizoeleweka hadi mawasiliano yakaingia DOA na nikawa MTU wa kulalamika sana hadi nikataka kukata tamaa!

Nikaamua kumpima imani na UPENDO wake kwa kutumia namba nyingine kwa ujumbe uliosema "wewe achana na mpenzi wangu venegrade" (sio jina halisi) daaahh siamini vile mwenye namba ile alivyosumbuliwa na huyu dada kwa kweli ,kumbe ananipenda sana hadi juzi nimetoka kwake aliniita kwa kesi hiyo nikamwambia ukweli kwamba nilikuwa nampima ila tukayamaliza baada ya yeye kujiridhisha!

Kuanzia juzi simu na text zake hazikatiki hadi nmeanza kuona impacts za ule mtego wangu japo nilikuwa na wasiwasi angeniona mm sio mwanminifu na kuniacha, nampenda nimeamini kupendana ni popote asee!

Naomba kufahamu nje na uelewa wangu na uzoefu pia, kuna nini kinaweza tokea endapo nitaamua kuwa nae hata kumuoa kabisa ikiwa tumekutana mtandaoni?

Mawazo yenu wadau!
 
Putin suala la kuangalia njia zetu kila mmoja anapaswa kuangalia njia zake, na hii ndio ilikuwa point yangu tangu awali maana mwenzetu unaona wanaume ni malaika na wanawake ni shetani la mguu mmoja. Haujasikia malalamiko kuwa WANAUME wanaelekea kuisha!! Na hapo siongelei "kufa", na kwa bahati mbaya mwanaume ndie kichwa cha familia.

Hivyo wakati unachafua wanawake naomba utambue tu kuwa nanyi sio wasafi hata kidogo, hivyo kila mmoja anapaswa kuangalia njia zake. Kabla haujatunyooshea vidole, tengeneza njia zako.
Teheeee mi naona umeishiwa pumzi mkuu !!...
Narudia tena ...MWANAMME HANA ANAVHOPOTEZA AS LONG AS ANA AFYA SALAMA!!!.

nyinyi nimengi mnayopoteza sana nakubwa ni THAMAN.

Hapo hata ukatae vipi ..huo ukweli hauwezi kupindishwa na lolote.
 
Sasa swali lako mbn limekaa kiwivu na roho mbaya ??.

Weee ulivyokua binti ,,kwann wanaume walikua wanakutongoza ?????.
Wewe wanaume wanavyokufata PM nisababu gani ??? kwaiyo naww unapaswa kujiuliza ????.

Swali limefanya nisikutofautishe na binti aliyepo ktk umri wa kuvunja ungo.

Niseme Mara mangapi watu wanapenda maandishi yangu nakomenti zangu na post zangu ??? Niseme Mara ngapi ,,elimu nazotoa humu ,,kuwapa watu myoyo nanguvu kupitia maneno yangu ???? Niseme Mara ngapi licha nawaponda lkn kwa kua mnapenda tuvimaneno tuzuri lazima msahau ????. Niseme Mara ngapi ,,wanawake wahumu mnaamini Mimi nimzuri kitandani ??? Niseme Mara ngapi ,kuna watu wananifata PM niwape ushauri wa let say ,Mambo ya uzazi lkn mambo yanabadilika ??? Wewe sikuna siku nmesema ,wale gay walikuja kwanjia ya kutaka niwaeleze namna ya kulast on bed ?? Lkn kila nikiwaeleza wanajifanya hawajui ,,kisha wakaanza ,,*unaonekana una mbooo nzuri yafaa kunyonywa ???.

SASA SWALI GANI ??? ..NGOJA NIKURAHISISHIE ,, KILA ANAYENIFATA PM ANAKUA NASABABU YAKE ANAYOAMINI MIMI PUTINI NAWEZA KUMSAIDIA....upo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka hadi wamenishangaa.

Putin unapenda kuonewa wivu eeh!! Hili umekuwa ukilitumia sana katika maandishi yako.

Anyway, nimegundua tunazungumza lugha tofauti, hivyo uwe na jioni njema tu.
 
Sikuombei mabaya ila niamini hutaweza kuishi naye huyo mwanamke. She won't make a better wife!
 
Teheeee mi naona umeishiwa pumzi mkuu !!...
Narudia tena ...MWANAMME HANA ANAVHOPOTEZA AS LONG AS ANA AFYA SALAMA!!!.

nyinyi nimengi mnayopoteza sana nakubwa ni THAMAN.

Hapo hata ukatae vipi ..huo ukweli hauwezi kupindishwa na lolote.
Basi sawa, umri unakuruhusu bado kuwaza hivyo.
Hope mambo yatabadilika baadae.
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Nikuulize kitu, wewe unajichukulia kama mwanaume wa aina gani?
Swali lako nirahisi sana ,, na kwaufupi Mimi nimwanamme ninayeamini ktk sheria zilizokichwani mwangu.

Nanikisema sheria nadhani zinaupana wake .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom