Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

Mm sio putin ila nkuulize ,,ivi ulitakiwa niwatumie akina nani wakati Niko humu if?
Huo ujumbe ni wa putin sio wako ndio maana haujauelewa!! Sijaquote uzi wako, nimemquote putin na kumuuliza swali kulingana na alichopost yeye.
 
Huo ujumbe ni wa putin sio wako ndio maana haujauelewa!! Sijaquote uzi wako, nimemquote putin na kumuuliza swali kulingana na alichopost yeye.
Ahaaa ndo maana na mm nikasema sio pitin

Ila hakuna kilichoharibika mkuu!
 
Eti putin huu ujumbe unatuhusu na sisi wa humu jf?
Nanyi unawahusu ila shida humu nihii

ID---fake

AVATAR--Fake

LOCATION--fake.

OCCUPATION--Fake

STATUS----+fake.

Kwaufupi ,,shida iloipo humu ni Ufeki ,nasababu yakutoakua Really ,, humu watu naamin kuna wapenzi watatu wanne mpaka sita. Sasa hiii inafanya kazi iwe Nguvu ya Kuaminiana.

Juzi sukar wenu Daby alisema ** Humu wapo watu na Ma X wao kibao ,ila tunaishi nao vizuri**.

Sasa chukua neno *Ma X wao kibao *... Hapa utakua umenielewa.

Lkn mshan Jr kuna siku kasema JF NISOCILAL MEDIA AMBAYO UFAKE NIMWINGI SANA.**

Hivyo ...HAKIKA UKIPATA MDADA HUMU JF ASOKUA NA MAKANDO KANDO NISUALA LA KUMSHUKURU MUNGU.
 
Habari zenu wadau!

Kama kichwa kisemavyo, nilikutana na binti kwenye group la WhatsApp tukaahidiana kukutana na ikawa hivo,nilijikuta nampenda sana na yeye mwanzo alionesha ana nipenda sana lakini baadae akawa MTU mwenye ratiba zisizoeleweka hadi mawasiliano yakaingia DOA na nikawa MTU wa kulalamika sana hadi nikataka kukata tamaa!

Nikaamua kumpima imani na UPENDO wake kwa kutumia namba nyingine kwa ujumbe uliosema "wewe achana na mpenzi wangu venegrade" (sio jina halisi) daaahh siamini vile mwenye namba ile alivyosumbuliwa na huyu dada kwa kweli ,kumbe ananipenda sana hadi juzi nimetoka kwake aliniita kwa kesi hiyo nikamwambia ukweli kwamba nilikuwa nampima ila tukayamaliza baada ya yeye kujiridhisha!

Kuanzia juzi simu na text zake hazikatiki hadi nmeanza kuona impacts za ule mtego wangu japo nilikuwa na wasiwasi angeniona mm sio mwanminifu na kuniacha, nampenda nimeamini kupendana ni popote asee!

Naomba kufahamu nje na uelewa wangu na uzoefu pia, kuna nini kinaweza tokea endapo nitaamua kuwa nae hata kumuoa kabisa ikiwa tumekutana mtandaoni?

Mawazo yenu wadau!
Ngumu sana ku advice hapo , kwa kuw mnapendan kam ulivyosema na kam ana meet your expectation , bas wawez oa tu mdau.
 
Nanyi unawahusu ila shida humu nihii

ID---fake

AVATAR--Fake

LOCATION--fake.

OCCUPATION--Fake

STATUS----+fake.

Kwaufupi ,,shida iloipo humu ni Ufeki ,nasababu yakutoakua Really ,, humu watu naamin kuna wapenzi watatu wanne mpaka sita. Sasa hiii inafanya kazi iwe Nguvu ya Kuaminiana.

Juzi sukar wenu Daby alisema ** Humu wapo watu na Ma X wao kibao ,ila tunaishi nao vizuri**.

Sasa chukua neno *Ma X wao kibao *... Hapa utakua umenielewa.

Lkn mshan Jr kuna siku kasema JF NISOCILAL MEDIA AMBAYO UFAKE NIMWINGI SANA....HAKIKA UKIPATA MDADA HUMU JF ASOKUA NA MAKANDO KANDO NISUALA LA KUMSHUKURU MUNGU.
Kwahiyo putin hayo makando kando na ufake unawahusu wanawake tu!!! Vipi wanaume wako real?
 
Kwahiyo putin hayo makando kando na ufake unawahusu wanawake tu!!! Vipi wanaume wako real?
Huu ufake ni pande zote kabisa sikatai ... Ila suala muhimu hapa ni Machaguo!!.
Wanaume wananafasi kubwa sana ya machuguzi na wanafasi kubwa sana ya kuaminika.

Embu Angalia ,, Diamond nimuhuni sanaaa ....lkn huwez amin licha ya makando kando yake ,, Leo hii akisema nataitaji mwanamke wakuoaa...Wataenda maelfu namaelfu kujaribu Bahati.

Lkn Leo hiii wema aseme natafuta mwanamme wakunioa ....wakienda ni wawili nabado watakua ni wapigaji wakichoka wanaamsha !!!.

Sasa Basi ,,Mwanamme kua namakando kando hayamwondolei kitu sana so long nimzm wafya LKN mwanamke awapoo namakandokando ni VIGUMU SANA KUAMINIKA.
 
Jaribu kumchek admin wa hilo group maana nyie wote ni kondoo wake anaweza kujua tabia yake.
 
Huu ufake ni pande zote kabisa sikatai ... Ila suala muhimu hapa ni Machaguo!!.
Wanaume wananafasi kubwa sana ya machuguzi na wanafasi kubwa sana ya kuaminika.

Embu Angalia ,, Diamond nimuhuni sanaaa ....lkn huwez amin licha ya makando kando yake ,, Leo hii akisema nataitaji mwanamke wakuoaa...Wataenda maelfu namaelfu kujaribu Bahati.

Lkn Leo hiii wema aseme natafuta mwanamme wakunioa ....wakienda ni wawili nabado watakua ni wapigaji wakichoka wanaamsha !!!.

Sasa Basi ,,Mwanamme kua namakando kando hayamwondolei kitu sana so long nimzm wafya LKN mwanamke awapoo namakandokando ni VIGUMU SANA KUAMINIKA.
Umeongea vitu viwili tofauti kabisa putin. Issue ni ufake na makando kando, mambo ya choices ni kitu kingine kabisa. Kwa case ya mond kitakachovutia zaidi maybe ni pesa na sio mapenzi ya dhati yenye ustawi kwa familia bora.

Linapokuja suala la kutaka mtu wa maisha ufake na makando kando ni mwiba kwa pande zote mbili. Kwahiyo haina unafuu, maybe kama unaongelea hii ya kupita njia tu.

Una habari kuwa hata wanawake wapo wenye machaguo mengi sana, pia kuna wanaume ambao machaguo kwao ni mtihani vile vile.

Sasa tuachane na habari ya machaguo, tuongelee huo ufake na makando kando ambayo umekuwa ukihubiri kuwa wanawake wa humu wanayo, huku ukitetea wanaume. Usivutie kamba upande wako tafadhali ongea kwa kutoka nje ya box.
 
Dhuuuuu ww ndo kwanza upatawa kwanza huko aiseee
 
Sometimes mapenzi yanasababishwa na vyuma so yeye anaona wewe ndo grisi. But mpende na wewe ndo maisha ya town hayo
Ana maisha nankazi yake anaishi kwa amani kabisa wala kipato changu hakijamshawishi kabisa ,,,may be wapo lakini yeye hajavutiwa na kipato changu
 
Umeongea vitu viwili tofauti kabisa putin. Issue ni ufake na makando kando, mambo ya choices ni kitu kingine kabisa. Kwa case ya mond kitakachovutia zaidi maybe ni pesa na sio mapenzi ya dhati yenye ustawi kwa familia bora.

Linapokuja suala la kutaka mtu wa maisha ufake na makando kando ni mwiba kwa pande zote mbili. Kwahiyo haina unafuu, maybe kama unaongelea hii ya kupita njia tu.

Una habari kuwa hata wanawake wapo wenye machaguo mengi sana, pia kuna wanaume ambao machaguo kwao ni mtihani vile vile.

Sasa tuachane na habari ya machaguo, tuongelee huo ufake na makando kando ambayo umekuwa ukihubiri kuwa wanawake wa humu wanayo, huku ukitetea wanaume. Usivutie kamba upande wako tafadhali ongea kwa kutoka nje ya box.
Nafuatilia huu mjadala wenu nyie wawili nione yuko sahihii
 
Well nmekuelewa .......

Niivi ,, sijui kwa wengine ila kwangu Mimi Putin ,naweza sema wanawake wahumu asilimia kubwa makando sana tena sana ,,( MF..niyule nayesema amegongana na wanaume wanne humu nabado akataka nimle ) hili nikando ..nakando hili nisababu ya Ufake Wa ID ,, Je unadhan hao Jamaa wamejijua ??

Tuendelee ,, Wanawake wahumu mmejiweka ktk mazingira ambayo ,siwafichi ,ukweli nikwamba ,mazingira mlojiwekea humu mmeonekana km watu easy yan hamna mipaka ya maneno ,hamna mipaka ya kuishi sawa na mazingira yaliyopo , ndio maana Leo mtu atasema *Jf imenipa mume*....wiki tatu zijazo * Wanaume Wa JF niwashenzi*.

Siwalaumu wanaume ,,Mimi hapo nakulaumu wewe.....chukulia mfano ,,Nyuzi zako toka umejiunga unazungumzia wanaume tu mfano ** wanaume hamtupapasi .....wanaume hamjui kunyonya kisimi..wanaume hamjui kutiaa....

Baada ya Muda ,,unatafuta Mwanamme humu humu ,,Ivi iyo niakili??? Yes nitakuja ila kwanza nitapitia post zako ..nitagundua unamakando makando ,Basi nitakuja ,nakula mzigo naamsha.

Wanaume niwatu wanaojifunza kupitia walichokisikia ,kukiona toka kwako

KWA SISI WANAUME.
aaahhhh makando kando yetu tulonayo niseme sio makali sana yakushindwa kuaminika humu ...

Nmepitia post nyingi na koment zawatu...mtu km Gudume ,, post zake waweza sema jamaa nimtu Wa wanawake sanaa lkn sio nabado anauwezo Wa kuaminika humu.

Sasa bana kuna mdada yeye toka kajiunga JF nikuongelea Ngono tuuuuuuu chaaaaa...unadhan huyu atapata Mwanamme toka humu wakuoa ??? Sana ataishia watumiaji tuuu ndomaana saanyingine wanamtusi tuu.

Kwaufupi ,,Wanawake makando kando yenu nibalaaa tena balaaaaaa.

Aya kadada kamoja ,oohhh Putin wewee. Nimstar nataman *Unioe lkn kuna mtu pia yupo Arusha naye anataka kunioa, ila wewe ndo natamani unioe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliishia kuchekaaaaaa toka siku iyo sikumtafuta tenaaaa ,,akaishia kuja kuniandikia Bongeeeee laudhi...HAYA YOTE NISABABU NILIMUONA ANAMAKANDO KANDO.

samahan kwa andiko lefu.
 
Hata kama ni chooni mmekutana mchukue tu. Unatuuliza ulipokuwa unamtongoza ulituuliza. He we jamaa vip?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom