Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

Nmekutana nae tsaap group tukapendana haswa.

Swali lako nirahisi sana ,, na kwaufupi Mimi nimwanamme ninayeamini ktk sheria zilizokichwani mwangu.

Nanikisema sheria nadhani zinaupana wake .
Ewaaaaa umemaliza!!

Na kila mmoja anacho anachoamini na kuamini ni kuchagua.
 
Kuna ile story nilisoma inaitwa "Jini la fesbook" inaendana na mazingira kama yako[emoji49] [emoji49], hii yako itaitwa "jinsi nilivyosumbuliwa na Jini wa whatsap
 
Ewaaaaa umemaliza!!

Na kila mmoja anacho anachoamini na kuamini ni kuchagua.
Nikweli ila daima niivi ,, we ukiona nafanya jambo baya nambie ...lkn sio uone nafanya Baya alafu usiseme ,ukitegemea kwamba We naye ukifanya baya nisiseme..nooooohhh yaan moja sheria zangu nikutokuona ubaya wwnye uharibifu ndan yake alafu niufumbie macho.

NAUTAMBUE IVI ,DUNIA YETU HAIARIBIWI NAWATENDA MABAYA ..BALI INAHARIBIWA NA WANAOTAZAMA WATU WAKITENDA MABAYA.

MIMI SIO MKAMILIFU ,, ILA BADO HAINIFANYII NIKAE NIFURAHIE UJINGA..

siku moja Mima alinambia ,, * Putin punguzaga maneno yako kwa wanawake*..... Nikamwambia Kama nayoyasema naww Umo Basi waweza kushika njia yako nyingine nasio kujaribu kunifunika mdomo ,kinyume nahapo naomba utulie ,unipende km nilivyo .... bila shaka alinielewa ndomaana naendelea kusema !!.

Espy , kwaufupi ukimchunguza Magufuli alivyo utagundua km Nina element zake iviii ,sometimes ndo maana ma X Wangu wananiita mkoloni lkn ukweli nikwamba sipendi ujinga waaina yoyote.
 
Sometimes mapenzi yanasababishwa na vyuma so yeye anaona wewe ndo grisi. But mpende na wewe ndo maisha ya town hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari zenu wadau!

Kama kichwa kisemavyo, nilikutana na binti kwenye group la WhatsApp tukaahidiana kukutana na ikawa hivo,nilijikuta nampenda sana na yeye mwanzo alionesha ana nipenda sana lakini baadae akawa MTU mwenye ratiba zisizoeleweka hadi mawasiliano yakaingia DOA na nikawa MTU wa kulalamika sana hadi nikataka kukata tamaa!

Nikaamua kumpima imani na UPENDO wake kwa kutumia namba nyingine kwa ujumbe uliosema "wewe achana na mpenzi wangu venegrade" (sio jina halisi) daaahh siamini vile mwenye namba ile alivyosumbuliwa na huyu dada kwa kweli ,kumbe ananipenda sana hadi juzi nimetoka kwake aliniita kwa kesi hiyo nikamwambia ukweli kwamba nilikuwa nampima ila tukayamaliza baada ya yeye kujiridhisha!

Kuanzia juzi simu na text zake hazikatiki hadi nmeanza kuona impacts za ule mtego wangu japo nilikuwa na wasiwasi angeniona mm sio mwanminifu na kuniacha, nampenda nimeamini kupendana ni popote asee!

Naomba kufahamu nje na uelewa wangu na uzoefu pia, kuna nini kinaweza tokea endapo nitaamua kuwa nae hata kumuoa kabisa ikiwa tumekutana mtandaoni?

Mawazo yenu wadau!
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...


Mwengine amefumaniwa huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI

na mwingine hajui kutongoza hukuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 
Sometimes mapenzi yanasababishwa na vyuma so yeye anaona wewe ndo grisi. But mpende na wewe ndo maisha ya town hayo
Maswali mengine ni magumu kuyajibu japo ukifikiria haraka utajibu
sio issue
Ni sawa pia nani kama kwa wanaokutana mashuleni, ofisini, kanisani, mtaani na sehemu yoyote maadam sio ndugu yako
Eti putin huu ujumbe unatuhusu na sisi wa humu jf?
Maisha hayana user manual kwamba mahusiano yakianzia nyumba ya ibada itakuwa hivi au yakianzia mtandaoni itakuwa vile.

Weka viwango vyako jiridhishe vimefikiwa/vitafikiwa basi baada ya hapo endelea na hatua zingine.
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...


Mwengine amefumaniwa huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI

na mwingine hajui kutongoza hukuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 
tegemea familia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dadako amekimbia dushe njoo muonee Ushauri: Aliomba MACHINE kwa Mungu, alipopewa akaikimbia...


Mwengine amefumaniwa huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI

na mwingine hajui kutongoza hukuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom