witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Sio kweli.Naskia NMB ukitoa fedha kwa ATM unakatwa saidi ya 5000!= wadau ni kweli?
Hii ni Kulingana na Account. Nyingine kama Savings unalipa 5kKwa mwaka au?
CRDB annual card fee kwa mwaka ni 14,000/=
Kuna siku nimetumiwa $114 crdb, nikashangaa kuna 134000, mpaka leo sijajua shida ilikuwa nini na wala sikwenda kuuliza.unawajua crdb wewe, wanakutoa chozi wale jamaa😀
Sio kweli. Chunguza tena uone makato ya nmb kwenye ATM.Equity makato ya ATM ni tsh 1,000. NMB makato ya Atm ni tsh 1,200.
Banc ABC iko katika hali mbaya sana .......inakaribia kufa.1.BancABC visa cash card , unaweza kusave +online transaction hakuna makato ya mwezi
2.NMB chap chap mastercard , haina makato ya mwezi
Hiyo BANC ABC nimeshaacha kuitumia nilishakaa miezi miwili bila kupata huduma ya card maana natumia Visa Cash Card kwa ajili ya malipo na online transaction1.BancABC visa cash card , unaweza kusave +online transaction hakuna makato ya mwezi
2.NMB chap chap mastercard , haina makato ya mwezi
Hiyo BANC ABC nimeshaacha kuitumia nilishakaa miezi miwili bila kupata huduma ya card maana natumia Visa Cash Card kwa ajili ya malipo na online transaction
Naona hawa wakenya wa Equity Bank ndo wapo active sana, yaani hata hela ikirudishwa kutoka Paypal inaingia direct kwenye account yangu ya bank
Kweli Mkuu?? Maana nilikuwa nampango wa kufunguwa A/C nyingine hapo ya IZZEBanc ABC iko katika hali mbaya sana .......inakaribia kufa.
Walianza kutuma sms kwamba kutakuwa na maboresho kwenye mfumo wa kadi, hivyo nikajua ni swala la masaa sita, mwisho wa siku nikaenda mpaka kwenye tawi lao naambiwa mfumo wa kadi bado unafamyiwa marekebisho, ulivyokuja kukaa sawa nikafanya malipo then nikaachana naoSuuh tatizo walikueleza ni nini hadi ukae muda wote huo?
Kuliko kuweka Hela nmb heri kuchimbia chini ,mchwa wanaweza kukuhurumia lakini sio nmb!yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia
Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
BancABC hapana hata kujaribu sitajaribu kabisa1.BancABC visa cash card , unaweza kusave +online transaction hakuna makato ya mwezi
2.NMB chap chap mastercard , haina makato ya mwezi
Kwanini mkuu , wanazingua eeh??BancABC hapana hata kujaribu sitajaribu kabisa
Achana nao mkuu, kama unaishu za online purchasement ni bora ukawatumia Equity BankKwanini mkuu , wanazingua eeh??
Hiyo banc abc ina limit time kama Nmb chap chap1.BancABC visa cash card , unaweza kusave +online transaction hakuna makato ya mwezi
2.NMB chap chap mastercard , haina makato ya mwezi
Niliacha kutumia huduma zaoHiyo banc abc ina limit time kama Nmb chap chap