NMB wana makato ya ajabu ajabu

NMB wana makato ya ajabu ajabu

Natamani kurudi equity bank ila nlishaburn bridges.

2018 nmemaliza chuo maisha yamenichapa si wakajikoroga wakaniwekea 100k faster sana nikaitoa mpaka kesho sielewi hata kadi yangu iko wapi na sijui kama account yangu inaexist.
 
E

Equity bank wako vizuri mkuu.....naomba tips
 
yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia
Wana uzi wao humu ndiyo wanaongoza kwa kuipa serikali gawio
Ukiomba risiti ATM unakatwa kama 8000
Ukiuliza salio unakatwa 2500
Ukitumiwa sms ya any teansaction unakatwa
Bank statement ndiyo usiseme
 
NMB wana negative interest rate.
Majuzi nilikuwa napita zangu njia nikaona wanatangaza juu ya account za chap nikaona nifungue fasta nikatupia humo 50000, wakanipa na kadi yao, nikawa nayo, tu kama reserve, kabatini, huku nikitumia account nilizokuwa nazo as normal as usual, imepita kama miezi 6,hivi nikawa na chungulia fedha yangu, kwani nilikuta hela, lahaula hakuna hata mbuni. Babu yenu nikacheka tu na kutulia.
 
Si ungeomba bank statement.......kujiridhisha
 
Hadi card unakatwa 4000

Siwataki hata kuwasikia

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wameshindwa kujiongeza kabisa, akili ni wangekuwa wanakata fedha kulingana na wingi wa fedha, mf*100-500000 wakakata 1500,500000-10m,wakakata 2000, 10ml-30ml,wakakata 3000,30ml-50ml,wakate 4000/-kuanzia 50ml-infinity, wakakatwa 10000/-
SASA HAWA WADUDUNDILIZAJI MINORS UKIWAWEKEA VIGINGI NAMNA HII WATAKUWA KWELI? (nashukuru wameni inbox watalifanyia kazi)
 
Hawa wahuni wanachoniboa ukikaa mda mrefu bila kufanya transactions hasa ya kutoa hela wanapiga pesa yako, eti wakiamini sijui umekufa...

Nina mshkaji alipata ajira mwaka jana, ni kijijini sana huko alipo hata network hamna, Tangu aajiriwe hajawahi gusa Salary, yeye alikua anaona msg tuu anapotezea, baadae ile laini ikafungiwa maana haitumiki(hakuna network), Mwanzo Alitumia pesa yake ya kujikimu kuanzisha mishe ndio ikawa inampa chakula na ukizingatia ni cheap sana + plus ufugaji wa kuku n.k

Sasa Mwezi wa 7 ule akarudi town, kwa mpango akope bank mzigo mzuri + plus ile hela yake aache kazi, Nikamuuliza Kwani Ume save kiasi gani? Akasema sijawahi gusa Salary yangu, Kwa hio ni Salary yako ya Mwezi mara 13? Ni mzigo mrefuu, Siku anaenda Ku process mkopo nikamshauri acheki kwanza Salio Bank..

Hahaaaaa, aloooo alirudi kinyume nyume mpk kwenye kiti akakaa, nikamshika tutoke njeee...

Kufupisha, alikuta elf 37, Ila baada ya vutana nyingi sana na msaada wa watu na vitisho akawekewa pesa yote.
Nae hakuwakwepesha Akakopa mzigo mzito kweli.
 
Back
Top Bottom