NMB wana makato ya ajabu ajabu

NMB wana makato ya ajabu ajabu

Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)

Usihangaike na matawi mkuu, matawi ni machache ila mawakala ni wengi,

unaijua Banc ABC wewe? Hii ndo Bank yenye matawi machache na mawakala ni wachache zaidi kuliko idadi ya matawi
Aiseee mimi natumia KCB sijawahi kutana na wakala hata mmoja.

BancABC niliona wachawi walivoniambia Nikalete barua ya utambulisho ya serikali za mitaa na Nida juu.

sikutaka kuendelea nao.
 
Aiseee mimi natumia KCB sijawahi kutana na wakala hata mmoja.

BancABC niliona wachawi walivoniambia Nikalete barua ya utambulisho ya serikali za mitaa na Nida juu.

sikutaka kuendelea nao.
Mimi hawajawahi kuniambia hizo habari nilienda na NIDA tu basi

Umesema kweli KCB hata mimi sijawahi kuona wakala japo situmii
 
CRDB nilifungua akaunti nikaweka 5000, baada ya mwezi ikakauka kabisa.
BANCABC hawana makato ya mwezi ila ATM na matawi ni machache. nilitoa 5000 kwa wakala makato 2800.
Hiii mbona hasara sasa jaman
 
Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)

Usihangaike na matawi mkuu, matawi ni machache ila mawakala ni wengi,

unaijua Banc ABC wewe? Hii ndo Bank yenye matawi machache na mawakala ni wachache zaidi kuliko idadi ya matawi
nilinunua bidhaa flani Amazon ambayo haikuweza kufika nchini, fedha yangu ikawa refunded na fasta muamala ukasoma Equity!
 
Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!

Screenshot_20220426-151418_Samsung Notes.jpg
 
Hakuna bank ambayo iko vijijini kwa sababu za usalama ila kuna mawakala binafsi vijijini.

Hata wewe kijijini kwenu unaweza kuanzisha ki-digital bank chako ukawa wakala wa bank zoooote
Nana maelekezo mkuu mahala nilipo hakuna benk kabisaaaa
 
Back
Top Bottom