NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

That's true. Mdogo wangu alipiga signature tofauti na ile aliweka wakati anafungua akaunti. Wakamwambia hii sio yenyewe na hivyo hupati pesa. Baadaye akaikumbuka, akisign wakamwambia hii sasa ipo sawa, wakampa mpunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara yapo, sema uwezo wako wa kufikiri ndio upo limited ndio maana huwezi kufikiria madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anold, Wewe na kijana wako muwe mnasoma vizuri term na conditions wakati wowote unapotakiwa kusign document yoyote.

Hayo waliyoyafanya maofisa wa Bank kwa kwa mujibu wa terms na conditions za mandates documents (mkataba) alozo-sign kijana wako wakati wa kufungua Account.

Tusome na tuzingatia mikataba na vipengele vyake!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama story ya uongo hii.kwanza unasema ni kijana wako, alafu tena unasema ni mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambiane kwanza NYWILA ya akaunti waliipataje hao wezi?kisha utuambie kulikuwa na ugumu gan wa huyo kijana wako kushindwa kufika kwenye tawi alilokuwa karibu nalo

Anadai na simu pia iliporwa pamoja kwenye ilo beg aliwasiliana nae vipi kwa haraka kiasi hicho na je mda huo si bora angeenda mwenyewe bank kuripoti kuliko kumtuma mtu tena mtu watatu acheni mzaha
 
Pole sana lakini taratibu hizo za benki sehemu nyingi duniani. Mwenye akaunti tuu ndiye anayetambuliwa. Hata hivyo, hao wezi waliwezaje kufahamu password ya akaunti hiyo???? Inside job -most likely ndugu jamaa wa karibu na ndiyo maana tunaambiwa password ya account zetu tuzihifadhi vizuri kwani hata mwanao[kama anaifahamu] anaweza kufanya deal ukaibiwa
 
Aaah ulaya bhana raha. Unaingia kwa website una log in mwenyewe ukaclick BLOCK my account huku ukiwa chooni unakunya mavi. Asante ulaya.
Kibongobongo qummaaaaaaaaaninaaaaaa walai
 
kwanini kijana amiliki kadi ambayo siyo yake pia usijari fuata taratibu zote za kufungua kesi si kulikua na kamaera.
 
Wewe una pointi, kuwa tunasaini condition zingine bila kujua madhara yake, japo ni masharti ya kipuuzi ya benki. Uko SAHIHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somebody should tell him ! Kijana wako amekupiga fanya kumnunulia simu nyingine tu na hizo hela sahau


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
JIFUNZE KUFIKIRI NJE YA BOX, KUNA MAZINGIRA MENGINE INABIDI TU AFISA UTUMIE COMMONSENSE!

SAWA NA KUSEMA UKIPATA AJALI HURUHUSIWI KUTIBIWA HOSPITALI BILA PF 3, WATU WENGI WAMEKUFA KWA HUU UJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upumbavu unaboa sana. PF3 mtu yuko critical anavuja damu wanafosi kuandikishana maelezo.
 
Naona mleta mada kaamua kuingia mitini huwezi kuipiga Benki kitoto hivyo
 
Ungefuata taratibu zao. Benki zote anayetakiwa kutoa taarifa ni mhusika mwenyewe ndio wanafunga
Hata mimi ningelikuwa Ofisa wa Benki nisingelifunga. Utaratibu lazima ufuatwe. Kama ingelikuwa ni fitna je, so benki ingelishtakiwa? By the way, walijuaje namba yake ya siri hadi wakamwibia? Sio kwamba kijana alimwingiza chaka mdingi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…