NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

Mbona me nimeipata sasa

GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
 
Hiyo unaingiziwa kwenye akaunti au kwenye M-PESA? na unailipa vipi..
 
Mshiko fasta ni easy tuu kupata , na haina Riba kubwa kama songesha, kimsingi songesha ni utapeli, na mshiko fasta ni msaada.
 
Hiyo unaingiziwa kwenye akaunti au kwenye M-PESA? na unailipa vipi..
Sijajua hata maana leo ndo kwa mara ya kwanza baada ya kunasa haswa nikaone nijaribu huku

Ikumbukwe juzi salary advance tayari nilichukua kiasi kadhaa na ikatiwa chini ya pua yote
 
Hatari sana, ka mshahara sungura hakajawahi kumwacha mtu salama.
 
Mbona me nimeipata sasa

GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
Duh,liba ndogo hivi
 
Mbona me nimeipata sasa

GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
NMB nao wameianzisha hiyo huduma? Wamegundua walikuwa wakiipoteza fursa?

Ila hongera zao! Wanakopesha mpaka shilingi ngapi?
 
Huduma ya Mshiko fasta bado haileweki hususa kwenye Vigezo na masharti
Mfano ikiwa unadaiwa na Mitandao ya simu bac hata mshiko fasta pia hupati sasa mtu unajiuliza Bank na Mitandao ya simu wapi na wapi?mbona unadaiwa na Voda lakini Tigo,airtel wanakupa mkopo kama kawaida
 
NMB wanatakiwa waiboreshe hii huduma,wasiifanye kama ni mkopo wa nyumba au gari. uu ni mkopo mwepesi wanatakiwa warahisishe vigezo na masharti yao
 
Huduma ya Mshiko fasta bado haileweki hususa kwenye Vigezo na masharti
Mfano ikiwa unadaiwa na Mitandao ya simu bac hata mshiko fasta pia hupati sasa mtu unajiuliza Bank na Mitandao ya simu wapi na wapi?mbona unadaiwa na Voda lakini Tigo,airtel wanakupa mkopo kama kawaida
Sababu kwa sasa defaulters wanaungwa huko CRB
 
Back
Top Bottom