NMB mnakwama wapi? Mnangoja nini?

Waendelee tu kulala usingizi ili wakishtuka, wakute wafanyakazi wote tumekimbilia huko Crdb kwenda kuchukua 'mzigo' wa kutosha.

Sijaisikia na ile inayoitwa eti "Benki ya Walimu" sijui na yenyewe ina matatizo gani!
 
Chukua chako mapema

Jr
 
Kaka tuchat
JamiiForums-864175683.jpg

Jr
 
Waendelee tu kulala usingizi ili wakishtuka, wakute wafanyakazi wote tumekimbilia huko Crdb kwenda kuchukua 'mzigo' wa kutosha.

Sijaisikia na ile inayoitwa eti "Benki ya Walimu" sijui na yenyewe ina matatizo gani!
Benki ya walimu ? ngoja nipite kwanza nitarudi baadaye
 
NMB ni benki kubwa sana na inayoheshimika kutokana portfolio yake na utengenezaji faida lakini hata mimi huwa najiuliza sijui wanakwama wapi.

Yule mama Ineke Bussemaker alijitahidi sana lakini bado naiona NMB kama institution inayohitaji transformation kubwa sana hasa ya kimasoko, kiutendaji na hata branding na positioning mbele ya jamii.

Bado ninajiuliza usingizi waliolala NMB sijui wataamka lini
 
Hao wanakoroma nime bado tena wapo usingizi mzito sana, Imagine nimeomba kubadilishiwa ATM card leo mwezi kama na Wiki mbili hakuna kitu nimeenda branch Jamaa anajibu hajui card itafika lini na wakati na fill up fomu ya kubadili card waliniambia Siku 21 nifate card wako very locally hao jamaa, Hao dawa yao ni mishahara tu ya serikali ianze kupita kwenye bank mpya ya serikali ndio akili zitawarudi nmb plc
 
NMB ni benki kubwa sana na inayoheshimika kutokana portfolio yake na utengenezaji faida lakini hata mimi huwa najiuliza sijui wanakwama wapi. Yule mama Ineke Bussemaker alijitahidi sana lakini bado naiona NMB kama institution inayohitaji transformation kubwa sana hasa ya kimasoko, kiutendaji na hata branding na positioning mbele ya jamii.

Bado ninajiuliza usingizi waliolala NMB sijui wataamka lini
Kabisa mkuu yani kama kumbe hata wewe ume notice ilo hio, mimi nimetembea branch nyingi na kuna uzembe wa wazi wazi mpaka mtu unajiuliza hii ni taasisi binafsi au Ya kiserikali mana, Ujinga tumezoea kuona kwenye taàsisi serikali mana ni shamba la bibi, CRDB kwa kweli mimi nawakubali sana ni ivo hawaja tapakaa maeneo mengi kama nmb
 
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.

pia riba yetu ni asilimia 1.4 kwa mwezi na asilimia 17 kwa mwaka
pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine inawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

mawasiliano zaidi piga 0692449416

karibuni sana
Wewe ni nani?

Platnum, Bayport, Faidika, abc,
 
Back
Top Bottom