NMB job several position wameanza kutuma email

Nambie ukweli ndugu yangu
Natania C...well nilikuwa natoa opinion yangu, as sioni sabb nyingine wangetumia kuwakataa watu kati hawakuwa na qualifications zozote zaidi ya deadline.
 
Maana najua watu wenye upper ila wamepata email
 
kwahiyo sisi ambao hatujapata email lini wanatuita tukafanye katest kao hako kamaswali ya shule ya msingi?
 
zoezi la kutuma email halijaisha. huwa wanalifanya alhamis na ijumaa, tujiandae kesho na kesho kutwa kuna watu watapokea email... mtaopokea jamani msisite kutuambia hata mimi nikipokea nitawaambia.
 
haaaa aiiise bado kumbe tuuu
 
zoezi la kutuma email halijaisha. huwa wanalifanya alhamis na ijumaa, tujiandae kesho na kesho kutwa kuna watu watapokea email... mtaopokea jamani msisite kutuambia hata mimi nikipokea nitawaambia.
Aisee kumbe zoezi linaendelea
 
Oooh Glory Glory Glory to God.. Hata mimi kikombe kimenifika wakuu
Ahsante Mungu!
 
NMB Wametisha jamani Yani hata Interview sifai kufanya na BAF YanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
uliaply tarehe ngapi.?? mimi bado sijapata email naisubiri. jina langu nahisi bado halijapitiwa.[emoji14][emoji14]
Afu ujue we utapata yaani nakuona paleee ofisi za NMB umevaa Yale mashati ya blue...kweli eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…