NMB job several position wameanza kutuma email

Daaah ila inatia sana moyo mimi nimetumiwa jana saa tano usiku, kwa maneno ya kiungwana kukataliwa kuwa nimeachwa lakini nitawekwa kwenye database yao kwa ajili ya wakati mwingine. Wanang'ata nakupuliza. Kweli sasa hivi tume improve sana kwenye ajira hadi ukikataliwa tunapewa taarifa. May God bless them.
 
Ili sijui tuiteje hali hii ni chenga ya mwili au chenga za ronaldinyo cz kusaini CV ndio iwe big deal dahhh
 
Wadogo zangu mliokosa hata interview hapo NMB wkt vigezo vyao vilikua ni very very simple hata kwa fresh graduate,kazeni sana roho na siku mkifanikiwa kutoboa kwny maisha basi kumbukeni haya:

*Msifungue a/c yoyote ile NMB kuenzi machungu ya kuteswa kisaikolojia na kushukuriwa kinafiki kwny email.

*Muwambie ndg na jamaa zenu NMB ni bank ya watu wanaojuana inapokuja kwny suala la kazi.

Natoa homework rahisi tu,kama kuna mtu mtu humu jf/rafiki yake atayeitwa kwny interview hapo NMB alete mrejesho hapa JF.
 
Mbona kama umepanick halFu unataka tengeneza multiplier effect ambayo mwisjo wa siku hadi hizo familia zitapata shida..we unadhan wasipoitumia bank ikaja kufa uchumi ukidondoka atakaye umia nani..tuwe wazalendo...ANYWAYS MI MWENYEWE NSHAAPLY SANA ILA HII NMEFUNGUA MAIL BAADA YA KUONA HUU UZI NMEKUTA WAMANAMBIA WAMENICHAGUA WATANAMBIA PROCESS INAYOFUATA
 
Hakuna uzalendo, wawo wenyewe sio wazalendo, sema CV zako ww uliochaguliwa? Ktk wote waliokosa hawana icho kitu
 
Hahah sawa mfanyakazi wa NMB,nimekusoma ila hio Bank ni zaidi ya uijuavyo.

Yajayo yanafurahisha.
 
Hakuna uzalendo, wawo wenyewe sio wazalendo, sema CV zako ww uliochaguliwa? Ktk wote waliokosa hawana icho kitu
Mkuu naona JF nzima jamaa atakua ameitwa mwenyewe tu.

Kuna madogo kama 8 hivi,wote wamepigwa chini na email za kushukuriwa kinafiki.

Lkn kwa vigezo walivyokua wameviweka,watu maelfu walihitajika kuitwa kwny hio interview yao.
 
Hapo nyuma nmesimulia kisa cha jamaa yangu aliesoma cultural and tourism jinsi alivojiongeza na akapata nadhan kwa muelewa kanielewa
 
Hapo nyuma nmesimulia kisa cha jamaa yangu aliesoma cultural and tourism jinsi alivojiongeza na akapata nadhan kwa muelewa kanielewa
Nimekisoma mkuu,sasa cultural&tourism vs kazi za bank wapi na wapi aisee?

Hapo ndipo nguvu ya connection hua inaonekana mkuu.
 
Utashangaa wanajifanya kama vile hawajaona hii Tag yako hapa mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…