NMB, hatuna shida na pipi, tunataka huduma!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,975
Reaction score
134,086
Kwenye matawi kadhaa ya NMB nimeona kampango ka kitapeli ka kuweka pipi counter!

Sijui lengo lao ni nini hasa. Lakini kama makerting wenu kawaambia ni customer care basi kawatapeli.Tunawaletea malalamiko meengi kuhusu huduma zenu,badala ya kutatua mnaletea pipi.

Kabisa afisa wa benk anapita kwenye foleni kugawa pipi wakati madirisha kadhaa hayana tela,wakati kule nje ATM hazitoi huduma,wakati mtandao mbovu, wakati masista duh wenu wanawabedulia midomo wateja wenu.Hatutaki pipi tunataka huduma bora na za haraka, unless mseme kama mnaona raha kutuona na foleni reeefu.
 
NMB sinaga hamu nao na hata ATM zao huwa siingii maana walinipiga mkwanjwa mrefu halafu ukiwaambia branch staff nyoooodo kwa saaana shabaash!!
 
Pipi zilikua special kwa wiki ya Huduma kwa Wateja mkuu!
Sio wao tu makampuni mrngi ilikua ukienda wiki iliyopita unapatiwa kazawadi kidogo.
Ni hilo tu...
 
Ni ajabu kuweza kununua vitu kama pp wakati huduma hata 15% haijafikia ni sawa ma kinunua meli wakati bahari huna
 
Acha ushamba huu n mwez wa customers dunian kla bank kla shrka wanawapa wateja wao zawad kama pp kek na kadhalka nakushangaaa huulz kabla ya kutenda
 
Hiyo wiki imekwisha............?.....dadeki nimepitwaje..........nielekeze ni wapi na wapi niende nikale mablack forest na ma ferrero mie.........
 
Kwenye matawi kadhaa ya NMB nimeona kampango ka kitapeli ka kuweka pipi counter!

Sijui lengo lao ni nini hasa. Lakini kama makerting wenu kawaambia ni customer care basi kawatapeli.Tunawaletea malalamiko meengi kuhusu huduma zenu,badala ya kutatua mnaletea pipi.

Kabisa afisa wa benk anapita kwenye foleni kugawa pipi wakati madirisha kadhaa hayana tela,wakati kule nje ATM hazitoi huduma,wakati mtandao mbovu, wakati masista duh wenu wanawabedulia midomo wateja wenu.Hatutaki pipi tunataka huduma bora na za haraka, unless mseme kama mnaona raha kutuona na foleni reeefu.

Hata Crdb mbeya wanafanya hvyo mkuu
 
Amma Tanzania bado wapo "malofa na wapumbavu".

Hilo halina ubishi.
 
Customer service ya Tanzania ni mbovu sana

ni tatizo la kuajiri vilAZA MTU NAPITISHA MSHAHARA WA MILIONI BADO WANANIONA KINYANGARIKA, MSHAHARA UKITOKA NAUKWAPUA WOTE NA KUHIFADHI CRDB, HUKU NIKIENDELEA NA MCHAKATO WA KUHAMA BENKI. KAMA MPWAPWA DODOMA NAFIKIRI NI ZAIDI NYODO NYINGII, WANAWEKA VIOO WANAFIKIRI CRDB TUNAFUATA VIOO? JIBU NI HUDUMA BORA
 
Hiyo wiki imekwisha............?.....dadeki nimepitwaje..........nielekeze ni wapi na wapi niende nikale mablack forest na ma ferrero mie.........

Taw lolote la bank hata crdb hahaha kiru
 
Back
Top Bottom