Nkoo,Nko,Nkoooooo Hodi Jamani!

Nkoo,Nko,Nkoooooo Hodi Jamani!

Joined
Aug 10, 2011
Posts
72
Reaction score
14
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa hii forum,sasa nimeamua kuwa active member ili nami nitoe dukuduku zangu za kumoyo.
Naomba kukaribishwa tafadhari.
 
Mbona unagonga kwa nguvu sana?
Halafu unatumia bunduki kupasua mlango...huh!..
Angalia kuna mtoto sebuleni usije ukamuumiza!
 
krokocho, krokocho, KARIBU mpaka uvunguni jisikie uko kwako.
 
karibu ingia hadi ndani pia jisikie huru.
 
Back
Top Bottom