Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200927-150501.png

NKOME, GEITA VIJIJINI

WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA"

Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya nkome, Kijiji cha nkome wilayani geita vijijini.

MCHAGUE PROF. LIPUMBA

RAIS MAKINI,

SERIKALI MAKINI
 
View attachment 1582543

Huyu mzee wa ccm B vipi Lisu ameishamaliza
 
View attachment 1582543

NKOME, GEITA VIJIJINI

WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA"

Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya nkome, Kijiji cha nkome wilayani geita vijijini.

MCHAGUE PROF. LIPUMBA

RAIS MAKINI,

SERIKALI MAKINI
Chagueni CCM
 
Back
Top Bottom