Njooni mchukue zawadi zenu..........

Njooni mchukue zawadi zenu..........

Mwalimu gfsonwin mi staki tabia ya kunitenga na mizawadi yako nimeisusa! Mbona me nikiwa na kizuri hukupa?
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa zawadi nzuri. Nilikukumbuka sana gfsonwin... Karibu Dompo na Valeur.
 
Last edited by a moderator:
:A S 100:Na mimi umenletea pipi TU eti!???????????????????😕:confused2::bowl::target:😱hwell::nimekataa:fencing::laser::rofl:
 
:A S 100:Na mimi umenletea pipi TU eti!???????????????????😕:confused2::bowl::target:😱hwell::nimekataa:fencing::laser::rofl:

mbona mgomvi jamani. Kwani mara ya mwisho kupata pipi ni lini?
 
Blaine ushawahi kuchomwa na kitu cha ncha kali!
UNIWAAAAAACHE NIPUMUWE!lol
af we mi shomvi gfsonwin hiyo zawadi mi sikuagiza mie nilitaka kitu cha kizulu pale kati bana!hyu dogolas wako ataishupalia hii mpaka nipaliwe yailahi!
 
Last edited by a moderator:
Karibu Mwalimu gfsonwin pia asante kwa zawadi! Ila .............................................................
Huwezi amini hadi sasa Natalia hajatoa zawadi ya christmas na hapa kutakuwa na mkono wa Mwl snowhite na mwaJ
Ruttashobolwa tutake radhi rafiki! Mie na snowhite hatujaharibu chochote kuhusu zawadi toka kwa Natalia. Tatizo la bibie Natalia anatangaza zawadi kwa pesa ya mzungu! Sasa power ya mchochomeo haijafanya kazi mzungu kagoma kukabidhi mshahara.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa tutake radhi rafiki! Mie na snowhite hatujaharibu chochote kuhusu zawadi toka kwa Natalia. Tatizo la bibie Natalia anatangaza zawadi kwa pesa ya mzungu! Sasa power ya mchochomeo haijafanya kazi mzungu kagoma kukabidhi mshahara.

tatizo mwafudenge anatununulia zawadi TK MAXX sijui!sasa si Nyani Ngabu kanistua huko TK MAXX ndo kunapatikana zwadi za aina gani!!mi akhu!nimejitoa rasmi kwenye kundi la wanaosubiri zwadi za natalia!
 
Last edited by a moderator:
Wow..Karibu sana my sweetlo gfsonwin. Hilo tunda la Natalia mbona linaleta klimue muhe humu? mi wala sihitaji mambo mengi mpz, mfyonzo unantosha...nipo nimejitunza tangu umeondoka hadi umerudi. Kama ulivoona apo juu kuna mgeni anaitwa mary hunbig nimeshajitambulisha na kuwatambulisha wake zangu wote kwake. yeye ni mnyakyusa eti...

Asante kwa zawadi lakini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom