Njooni mchukue zawadi zenu..........

HAYA KILA MTU AJE KWA NAFASI YAKE.
mume wangu Kaizer nimekuletea ............berry alonionyesha Natalia pale marrylaine shopping mall naskia ukila hii lazima kadi za benki namafungu ya magap unimwagie lol
cacico, Madame B snowhite, APART FROM dior perfumes, nimeleta dildo latest design size inch 12 zina back up system kama umeme ukikatika pamoja na shanga za ukweli za kiswazi lol!
King'asti, Blaine, Kongosho Platozoo, Eiyer Smile @mbimbi nimewaleteeni gym costumes za ukweli sasa ole wenu zamu ya pindi la mazoezi mkimbie ama mje na visingizio hasa kwako King'asti na Blaine
Ruttashobolwa Asprin erick b52 nimwaleteeni mvinyo kitu "martell" najua mtaipenda sana. Ciello lara 1 BADILI TABIA FP mmepata rangi za kucha na lipstick. Nicas Mtei Jiwe Linaloishi Mtambuzi figganigga nimewaleteeni tai za ukweli na @mr rock city umepata saa. mzee wetu Dark City yeye kapata kikoi cha bibi. Preta umepata pochi wewe na @blacck woman

wanajamvi wengine wote mmepata pipi eclairs karibuni sana mchukue zawadi zenu.

nawapenda sana sana jamani niliwamiss mno.
kweli hapo sina kisingizio, asante dada :becky:. hapo red ndio maana snowhite anakaa kwenye beseni la maji ya moto.
 
Last edited by a moderator:
we hutaki kuwa mwenyekiti wa UWT?? plus kugegedwa na wakubwa...hahahahah

mmh! nikifikia pa kudoiwa na wakubwa kisa cheo basi ni bora nianze tu kuuza chai chapati njiiani lol!
 
Back
Top Bottom