Njooni mchukue zawadi zenu..........

mbona mgomvi jamani. Kwani mara ya mwisho kupata pipi ni lini?

Mhh...unataka kujua ki ukweli kwelii!?? nitadanganya tu..
ila sitaki pipi ya dada ndo maana naleta ugomvi..pipi ampe shemeji yangu @kaizer. mimi kama sijaletewa 'a man's precious item' = a WATCH!!!!! hakijaeleweka bado aisee....invicta/swiss army!!!
 
Ahsante sana mdogo wangu gfsonwin,

kwetu sie wazee familia, zawadi ya bibi ni bora kuliko ya babu.

Ila tunaomba ututendee haki kwa kutusimulia hadithi kiduchu ya huko utokako!

Au ulienda kwenye naptual flight kama ile ya kumbikumbi ingawa ni uzeeni?
 
Last edited by a moderator:
tatizo mwafudenge anatununulia zawadi TK MAXX sijui!sasa si Nyani Ngabu kanistua huko TK MAXX ndo kunapatikana zwadi za aina gani!!mi akhu!nimejitoa rasmi kwenye kundi la wanaosubiri zwadi za natalia!

Inabidi na mie nijitoe hivyo hivyo kwa Natalia japo gfsonwin kaniletea pipi tu.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin mm mbona silioni jina langu kwenye orodha yako!Basi naomba hata mabaki ya zawadi wakati unafunga zile zinazodondoka uniite nitakuja chukua Loh!
 
gfsonwin mm mbona silioni jina langu kwenye orodha yako!Basi naomba hata mabaki ya zawadi wakati unafunga zile zinazodondoka uniite nitakuja chukua Loh!
Lisa siwez kumsahau mtu kama wewe maishan hope you know that but ni kutokuwa na sehem kubwa ya kumdondosha kila mtu kwa nafasi yake. nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Eti gfsonwin mi umeniletea nini?

Nna siku nyingi sijacheza volleyball, naamini utakuwa umeniletea mpira.
 
Last edited by a moderator:
Eti gfsonwin mi umeniletea nini?

Nna siku nyingi sijacheza volleyball, naamini utakuwa umeniletea mpira.
hahahahahahah! nimekuletea neti lol! halafu hivi bado timu yako ina wachezaji ama mmesha staafu?? naskia mlipata mgongano wa maslah na ALLEN ALEX hana masihara
 
hahahahahahah! nimekuletea neti lol! halafu hivi bado timu yako ina wachezaji ama mmesha staafu?? naskia mlipata mgongano wa maslah na ALLEN ALEX hana masihara
Huyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.
 
Huyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.

Hapa ngoja ntafute miwani si bure
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom