Njooni mchukue zawadi zenu..........

Huyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.
sasa mbona mmempa uenyekiti?? manake baada ya kutoka butimba mkampa shavu na sasa anatembelea STJ maisha haya bana
 
Khaaaaaaaaaaaaaaah! Mentor mbona wewe mgomvi hivyo? yaani unanionea wivu kiasi hicho! bahati ya mwnzio Usilale mlango wazi utaliwa na fisi
Lisa basi ukipewa na mm nmegee. Si unajua ukipewa bure hutakiwi kumnyima mwenzio...si ndio babu Asprin??!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu gfsonwin asante sana kwa zawadi aise
Uwe na maandalizi mema ya msimu huu wa sikukuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom