Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,553
- 72,507
Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam..Nipe acces sasa Mimi mdada wa yanga au ulishahamaga
Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam..Nipe acces sasa Mimi mdada wa yanga au ulishahamaga
Dah inakera sana,ukipata mzazi mwenye lawama.Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima.
Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate