Njoo uchague yako

demi wapi wewe nani kakuficha jaman mke wa tu wewe? Neybright bado nacheka na jana !hope mko poa ! kumbe espy ushaingizwa mjini na Nyani Ngabu !lol!
Haha mbiti leo asubuhi nimekuwaza nimecheka kama kichaa. Nilikuwa naimagine mama mkwe alivyokuwa anamsifia mwanae siku ya harusi, kumbe dooh. Yani nimechekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…