MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Muuzaji mwenyewe hana elimu ya ujasiriamali nadhani...
Anashindwa kutoa full detail ya bidhaa zake...
yeah amepoa
Muuzaji mwenyewe hana elimu ya ujasiriamali nadhani...
Anashindwa kutoa full detail ya bidhaa zake...
AhahahaaaaaaHaha maana binadamu hatunaga soni. Perfume yako kidogo tu "fyuuuu", ila ya kuazima sasa "fyuuuuuuuuu fyuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuu"
Ahahahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa, au nampulizia mwenyewe.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hs huyo
Mkuu niliondoka na dem club akaja kuniambia asubuhi perfume yangu(royale blue) ndiyo ilimvuta kucheza na mimiUna royale blue??
Ahahahaaaaaa
Mkuu niliondoka na dem club akaja kuniambia asubuhi perfume yangu(royale blue) ndiyo ilimvuta kucheza na mimi
Kwanini unacheka jamaninimekuona nimeanza kucheka hahaha!habari za kufufuka
Kwanini unacheka jamani
Ahahahaaaaaa [emoji125][emoji125][emoji125]yaan jana ulinichekesha sana !dah '!mnyonyo'
Na kusimama dedeyaan jana ulinichekesha sana !dah '!mnyonyo'
Heaven sent embu muulize mbiti alivyoenda pm kupata more information mbona hajatupa mrejesho?Na kusimama dede
Hivi hajaleta tu lile darsa?Heaven sent embu muulize mbiti alivyoenda pm kupata more information mbona hajatupa mrejesho?
Au ndio mambo ya mwamba ngozi [emoji6]
Akikujibu unambie nimponye mtukufu wangu
jaman royal blue nayo tamu mnoo kwa mamen!kweli huwa inavuta
Kwakweli sijaskia popote, labda kama alikutonya weweHivi hajaleta tu lile darsa?
C.c MBITIYAZAKwakweli sijaskia popote, labda kama alikutonya wewe
Heaven sent embu muulize mbiti alivyoenda pm kupata more information mbona hajatupa mrejesho?
Au ndio mambo ya mwamba ngozi [emoji6]
Akikujibu unambie nimponye mtukufu wangu
Hivi hajaleta tu lile darsa?
Haha ngoja mbiti ajeMlilete basi jamani kwa ajili ya watukufu wote..
Na kusimama dede
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]LOL!...kama vile nilikuwa namuona mwafulani kasimama dede na jeans yake mlegezo...lol