Njoo uchague yako

Njoo uchague yako

Foundation yenye ubora haswa hii hapa,
(1) haitoki hata ukitoa jasho au maji yakikumwagikia labda uoshe uso.
(2) inadumu masaa 24 bila kupoteza ubora wake
(3) ni kwa ngozi aina zote
(4) haipukutiki na kuchafua nguo yako
(5) Inanukia vizuri na imetengenezwa kwa kutumia malighafi asila

Velvet Powder sasa
(1) inazuia ngozi isishambuliwe na miale sababu ina SPF 20
(2) inadumu siku nzima
(3) imetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia na inatunza ngozi yako

Tuwasiliane ukihitaji 0672416294 au 0629273281


ec1c47a8f2e1c371217f104d6b9fc09d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app







Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ,espy !hii kitu ni noma
 
5264479ebaa66992fc3242a4c74c38be.jpg


Mascara hii inajaza kope na kurefusha, yanini tena kubandika kope.. Na imetengenezea wa kutumia malighafi asilia. Hamna kuathirika kwa jicho hapa.

63502e5e4c34acf9e7a148c07685237c.jpg


Mwanamke jicho bhana, paka wanja wako uongeze urembo na mvuto. Hapo kuna wanja wa kuchonga na waku zungusha tu.. Hukaa muda mrefu mpaka uoshe mwenyewe kwa hiari yako.

0f07251718d4a621a1a8c2b36a415425.jpg


Umewahi kutana na mascara hata uongelee haitoki (defies humidity, rain and water) karibu.
Yaani refusha kope kwa utakavyo na kujaza kwa chaguo lako.

e0baca51cca090636de4d2aa1a3f5667.jpg


5 in 1 ni wewe tu na urembo wako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom