Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,838
- 183,051
Nije kukukanda? [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha haaa kwani nimekwambia misuli inauma??? Ila ni kweli sijui umejuaje?? Uchokozi huo jomonii ha haa
Nije kukukanda? [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha haaa kwani nimekwambia misuli inauma??? Ila ni kweli sijui umejuaje?? Uchokozi huo jomonii ha haa
Njoo tu shoga..viungo nyang'anyang'aNije kukukanda? [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haha mbiti leo asubuhi nimekuwaza nimecheka kama kichaa. Nilikuwa naimagine mama mkwe alivyokuwa anamsifia mwanae siku ya harusi, kumbe dooh. Yani nimechekaaa
Anakudanganya ole wako utokee uone kichapo changuNaanzaje kutokutokea sasa jamani!! we leta bwana, acha visingizio.
Hahahaa lakini kila mama anaonaga malezi aliyowapa wanae ndo malezi bora, ila ndo mkishaingia ndoani sasa mnaanza kufixiana. Yani umenichekesha na sifa za mama mkwe, it's like uambiwe umebahatisha sana kuolewa na mwanae, kumbe mweehheaven alipewa mic alitumia km dk 35.. naogopa kusema meng hapa maana mamake anajulikana sn !alimpamba weeeeee kila mara ananigeukia mm ananiambia narudia ten [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] umepata mume! watu woyoooooooo ! alisema nimebarikiwa kuzaa watoto wazuri angalia matoto yangu yote marefu mazangamba (wasukuma hapa watanielewa) ,angalia mumeo alivyo mzuri na mpole !hahahaha nyokolollllllllllooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!hapo mama toka asbh alikua anapakia nyagi !maskin ya Mungu meza ya wazaz wangu ni majuic tupu !
had akijaga kwangu full kumpamba mwanae !nilikuambia mbiti !mumeo mtu mzuri si unaona unavyonenepa mama ! hahahah! namjibug moyon mama usinzengue tafadhari ! alafu bas aconcentrate na wanangu awasimamie wale vzr yupo busy kumpa mwanae nyama ,mboga nzuri !yaan anazitoa kwenye sahan yake anamwekea mwanae anamwambia mkeo amepika vzr sana kula mwanangu !vitoto vyangu hata kuviambia bibi kulen wapiii !
huwa ananikera mnoo !mamangu akijaga anadeal na wanangu mnoooo anawalisha n so forth lakini sio yule jaman ! akinywa supu lazima akuambie hiz nyama mama nambakizia mumeo maana jana amekunywa sana !nami namwambia tu sawa mama ! ANAKERA SANA YAAN!
serious ukija ukamuona anavyomtake care mwanae waweza hisi amezaa akiwa na 50! akiwa anaongea nae anamsugua sugua mgongo upo shost ! heheheehheeh!na lenyewe linatuliaaa !pyeeeee eti kisa lastborn shubaaaaaaaaamit
Basi ukiipata usinisahau kichupa. Ingawa kwa jinsi ulivyo hiyo perfume haitotumika, itakuwa inahamishwa tu from one pochi tu another[emoji78] [emoji78]Hahahaaaa!! Mie naendelea tu kusubiri, nina moyo wa kupondeka.
Kwakweli nami namsubiri aamue.
Hahahaa lakini kila mama anaonaga malezi aliyowapa wanae ndo malezi bora, ila ndo mkishaingia ndoani sasa mnaanza kufixiana. Yani umenichekesha na sifa za mama mkwe, it's like uambiwe umebahatisha sana kuolewa na mwanae, kumbe mweeh
Teh kuna mabibi unaweza ukasafiri kabisa na usiwe na wasiwasi na wanao coz unajua kuna bibi yao atawatunza vizuri, ila wengine sasa mmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi ukiipata usinisahau kichupa. Ingawa kwa jinsi ulivyo hiyo perfume haitotumika, itakuwa inahamishwa tu from one pochi tu another[emoji78] [emoji78]
Khaaa uchoyo. Ukinipa napulizia fyuu fyuu kwenye nguo zote teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea kitu cha marekani wewe!!
Utapulizia siku moja tu alafu tusizoeane.
Weeeeh!!! Nakusimamia.Khaaa uchoyo. Ukinipa napulizia fyuu fyuu kwenye nguo zote teh
Hapo wakati umemsimamia huku unampa maelekezo asibonyeze kwa nguvu hicho kidude kitafyatuka kumbe hutaki itoke nyingiWeeeeh!!! Nakusimamia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo wakati umemsimamia huku unampa maelekezo asibonyeze kwa nguvu hicho kidude kitafyatuka kumbe hutaki itoke nyingi
Haha maana binadamu hatunaga soni. Perfume yako kidogo tu "fyuuuu", ila ya kuazima sasa "fyuuuuuuuuu fyuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuu"Weeeeh!!! Nakusimamia.
Hapo wakati umemsimamia huku unampa maelekezo asibonyeze kwa nguvu hicho kidude kitafyatuka kumbe hutaki itoke nyingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha maana binadamu hatunaga soni. Perfume yako kidogo tu "fyuuuu", ila ya kuazima sasa "fyuuuuuuuuu fyuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa, au nampulizia mwenyewe.
Haha maana binadamu hatunaga soni. Perfume yako kidogo tu "fyuuuu", ila ya kuazima sasa "fyuuuuuuuuu fyuuuuuuu fyuuuuuuuuuuuu"
Hapo wakati umemsimamia huku unampa maelekezo asibonyeze kwa nguvu hicho kidude kitafyatuka kumbe hutaki itoke nyingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni sh. Ngapi..?WOW! NIMEWAH ITUMIA !TAMU BALAA !JAMAN KAMA KUNA MTU MWENYE UTU NA UJAMAA ANINUNULIE JAMAN ! MWEEE! TEH
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hs huyo
Muuzaji mwenyewe hana elimu ya ujasiriamali nadhani...nakumbuka nilinunuakitu km 68 !heb muulize muuzaj