Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Jamaniiiiiii[emoji27] [emoji27]Cheka tuu dia hakuna namna, ni mwendo wa dede au tatee usipomshika au asiposhikilia kitu dk moja yupo Chini [emoji28][emoji28]
Jamaniiiiiii[emoji27] [emoji27]Cheka tuu dia hakuna namna, ni mwendo wa dede au tatee usipomshika au asiposhikilia kitu dk moja yupo Chini [emoji28][emoji28]
Haha anasimama dede? Jamani nacheka kama mazuri
we ney kanichekesha hata mie jaman !nyie achen
Cheka tuu dia hakuna namna, ni mwendo wa dede au tatee usipomshika au asiposhikilia kitu dk moja yupo Chini [emoji28][emoji28]
Basi ukute wanasimama dede halafu wanaangalia kama wanachungulia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu Ney huyu!..[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo wa kupondeka mpendwa teh,bora huyo dede tatee jaman jitu zima kutapika jaman ! na huwa ngum kufuta mwenyew automatic utafuta wewe !jaman jaman ! ukute na maharufu ya sigara huwa naosha ndooo na maji moto na detol juu kitu bado kinatema !bas mwisho wa mwez ninunulie walau tenge hamna ! aseee
Haha acha tuBasi ukute wanasimama dede halafu wanaangalia kama wanachungulia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu Ney huyu!..[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheka tuu dia hakuna namna, ni mwendo wa dede au tatee usipomshika au asiposhikilia kitu dk moja yupo Chini [emoji28][emoji28]
sijui yataisha mwaka gan !
Mmh alikuwa anavuta kisiri siri?nachojiuliza wakat wa uchumba hakuwa ananuka sigara na sikuwah jua namwambia tumia vtu ulivyokluwa unatumia nisijue km na sigara unavuta ! hakuwa akinuka jaman ht kidg ! mwee
Vipi upishaipata?hahhhhhahaahhahahhaaah ! waleleeee! naringa mieeeee! nashukuru Mungu kuniumba mwanamke
hahaha nashukuru sana mkuu !hata sikufaham yalabi akuongezee! be blessed!@demi Neybright !watu na vismart vyetu !sitak kumwita Heaven Sent wala espy walau naweza mwita Nalendwa hahahha ila sio Maserati ! barikiwa sana mkuu Elli
Mmh alikuwa anavuta kisiri siri?
Vipi upishaipata?
ndo alichoniambia !kuwa aliaza lon time std seven !hv kuna mimamamingne jaman sijui ipoje ! walikuwa free sana kwao !argh mie sitakufree kwa mwanangu jaman !hapana !ona sasa mtoto wa darasa la 7 anavuta sigara !siku ya harusi alimpamba mwanae zaid ya 40 min had akapokonywa mic ! kila mara [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] nakuhakikishia hapa umepata mume labda ushindwe mwenyewe oh wanangu woote mbiti ndo mtoto mpole msikivu blah blah kibaoooooooooooooooo! jaman ! alimsifia had nikakosa makonfidence shoo ! heheehehe kumbe mie ndo bora !dadek
Hujamaliza ile degree yako unipe kichupa?Vipi upishaipata?
sijui yataisha mwaka gan !
Amen to thatYataisha mamie, don't worry about how, just hope will be soon and be positive, with 'GODFIDENCE'
Heaven Sent espy Neybright
Yataisha mamie, don't worry about how, just hope will be soon and be positive, with 'GODFIDENCE'
Heaven Sent espy Neybright
Vipi upishaipata?
Hujamaliza ile degree yako unipe kichupa?
Haha na mimi nimepata somo mbonaHaha!, kichupa cha kupamba lakini jamani!
Mie nimejifunza hapa kuweka kwenye mfuko..