Njoo uchague yako

Njoo uchague yako

Juzi hapa ulikuwa unalalamika shemela wetu ni pampula
emoji23.png
kwa hiyo umeamua kutafuta wa kumsaidia waziwazi
emoji15.png
......

Sent using Jamii Forums mobile app

hebu na ww kuwaga na staha mkuu hv unadhan nilikua serious kujiombeleza namn hyo !mie nimeandika tu mhenga kanitunuku !we niache na maisha yangu aisee !usidhan nna njaa hyo nimepewa na sirudishi! sasa kwa kifupisio huyo tu aloamua kunisurprise !nimepata marafk wengi sanaaa had mavitenge nimepewa, na ofa juu kila wknd ya kwenda kujispoil nipoteze stress !we kalagabaho ukihis mie najitongozesha hehhehhe utalala ukutani mkuu ! nibahat yangu ! km ww uliona nimeandika kujitongozesha nakuambia kaoge ulale !tusiharibiane siku tafadhari !

mie ni mtu wa kufurahi maisha yangu yote napenda utani zaid na mie nimeandika tu !iweje wewe utokwe povu acha wivu tena acha kbs mie ni she we ni he tofautiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!m out
 
MBITIYAZA
Heaven Sent
Nalendwa
Mmenishinda tabia looh, mbiti ukinunuliwa mie nasubiri iishe unipe kichupa nipambe kwenye dressing table yangu [emoji125][emoji125][emoji125]

hahaha tupoweng wa kupamba hahaha mie huwa naiweka mikoban mkoba ukichukua unasmell poaaa hahha takupa shoo! nashangaa kunanjitu linatoka povu bila sababu pyee
 
hebu na ww kuwaga na staha mkuu hv unadhan nilikua serious kujiombeleza namn hyo !mie nimeandika tu mhenga kanitunuku !we niache na maisha yangu aisee !usidhan nna njaa hyo nimepewa na sirudishi! sasa kwa kifupisio huyo tu aloamua kunisurprise !nimepata marafk wengi sanaaa had mavitenge nimepewa, na ofa juu kila wknd ya kwenda kujispoil nipoteze stress !we kalagabaho ukihis mie najitongozesha hehhehhe utalala ukutani mkuu ! nibahat yangu ! km ww uliona nimeandika kujitongozesha nakuambia kaoge ulale !tusiharibiane siku tafadhari !

mie ni mtu wa kufurahi maisha yangu yote napenda utani zaid na mie nimeandika tu !iweje wewe utokwe povu acha wivu tena acha kbs mie ni she we ni he tofautiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!m out
Swts, take it easy bana, utaspoil mood yako nzuri ya kupokea mijizawadi ujue
 
MBITIYAZA
Heaven Sent
Nalendwa
Mmenishinda tabia looh, mbiti ukinunuliwa mie nasubiri iishe unipe kichupa nipambe kwenye dressing table yangu [emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahah!, hey Ney!!!

Umenichekesha na kunikumbusha kupamba na kujaza dressing table na chupa zilizoisha na makopo ya lotions iliyoisha! [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom