Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Daah watu mmeoshewa mpendapenda
Unapatikana wapi huu mamie na mimi niogee!..
Nimrudi MBITIYAZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah watu mmeoshewa mpendapenda
Teh muuliza mbiti akusaidie
Teh muuliza mbiti akusaidie
Daah watu mmeoshewa mpendapenda
Teh!, ni kweli watu wazuri kama hawa bado wapo afadhali..
Haha mbona kulthumuhahaha sure rafiki !ukute hapo ndan hela kubwa ulowah kupewa ya kununua kulthumu !asante sana mhenga Elli ! binafs nimejitambua kuwa kuna watu bado wanatuthamini !
Ukiipata nyingine nitumie tu mimi bana[emoji125] [emoji125] [emoji125]hahaa wapoila mostly wahenga !na wala sikuwa serious !acha kbs !
Ukiipata nyingine nitumie tu mimi bana[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha mbona kulthumu
hahaa wapoila mostly wahenga !na wala sikuwa serious !acha kbs !
Ukiipata nyingine nitumie tu mimi bana[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha unaruhusiwa kuja kusema pm bana lol. Shoga angu wewe ni wa thamani sana, no matter what. Haha sijui ndo zawadi yako na wewe kwa ajili ya birthday ya pampula? Smile dearhahahah nimejikuta nafutwa machozi kwenye uzi ule aiseee! nimefutika machozi ! aseee !hehehe wabarikiwe kwakweli ! sasa na mie najiona nna thaman !lol! naogopa kusema hapa !lol
Shoga angu utajaza dressing table hahateh na wauza garnier products wajitokeze jaman !teh teh unakuta umejaza kadressn table kwa huruma za namna hii !wozaaaaaaaaaaaaaaaaa
..ndo vi smart venyewe hivi shoga..
Haha unaruhusiwa kuja kusema pm bana lol. Shoga angu wewe ni wa thamani sana, no matter what. Haha sijui ndo zawadi yako na wewe kwa ajili ya birthday ya pampula? Smile dear