Fundi chupi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 342
- 246
Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tuNchi yetu haturuhusu wakenya kulima[emoji15] [emoji23] [emoji23]
Ukubwa wa shamba ni uwezo wako hata ukitaka heka 100 zipo .ilaukishatoa gharama kwa heka moja faida ni mil 5.
Kaka haijalishi wakenya wamekupokeaje. Hatakama umepokelewa kama malaika. Ukweli hapa kwetu Tanzania wakenya hawaruhusiwi kulima pasipo na vibali maalumu.Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu
Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Hata huku pia watanzania hawaruhusiwi kulima bila kibali. Kumbuka mwenzako kasema kuwa hawaruhusiwi kulima kabisaKaka haijalishi wakenya wamekupokeaje. Hatakama umepokelewa kama malaika. Ukweli hapa kwetu Tanzania wakenya hawaruhusiwi kulima pasipo na vibali maalumu.
It might be a very bitter pill to swallow.
afadhali umwambie, maana anaweza akaweka picha ya shamba kwenye mitandao akatangangaza kwamba hilo shamba linapatikana kenyaNchi yetu haturuhusu wakenya kulima[emoji15] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu
Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Hata huku pia watanzania hawaruhusiwi kulima bila kibali. Kumbuka mwenzako kasema kuwa hawaruhusiwi kulima kabisa
Bado hujakua wewemi natamani wakenya wawe watu wa kwanza kukatazwa kuingia nchini mwetu
mi natamani wakenya wawe watu wa kwanza kukatazwa kuingia nchini mwetu