secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,208
- 46,183
Wala!Unanitia dhambini ujue we mzee 🤣
Wala!Unanitia dhambini ujue we mzee 🤣
Mtu alilipia kabisa bill still uka escape 😢Tulikaa pale Ubungo Plaza kulikuwa kuna Hotel inakuwa inaitwa Blue Pearl, tukala pizza na tukanywa juice na akailipia ile menu yote.
Nikajiongelesha na simu lujifanya nina dharura alielewa na yeye kwao ilikuwa ni Kimara huko. Nilipotoka pale nikaamua kumpiga tofali kabìsa lakini nilijilaumu sana
Sawa ndegeWala!
Hata hakujeruhika na lolote mbona tulipiga story fresh sema picha niliyokuwa nayo na vile nilivyomuona aisee nilikuwa nimefeli vibaya sanaMtu alilipia kabisa bill still uka escape 😢
Si ungesubiri muagane ndiyo umpotezee juu kwa juu?
Haya rudi kwa aliekutuma sasa umpelekee habari ulizozipata hapa😊Mimi mjumbe tu, mjumbe hauwawi aunt yangu😅😅
Sasa mbona unasema ulijilaumu?Hata hakujeruhika na lolote mbona tulipiga story fresh sema picha niliyokuwa nayo na vile nilivyomuona aisee nilikuwa nimefeli vibaya sana
Mbona kama unamuogopa hivi?🤔Haya rudi kwa aliekutuma sasa umpelekee habari ulizozipata hapa😊
Daaah nilijiuliza mengi sana 🤣Sasa mbona unasema ulijilaumu?
Au ungemfanyia finishingiii kaka 😂
Thanks bro. Ndio hivyo, kuna baadhi ya majukumu yanakupa muda mwingi wa kupumzika na kufanya mambo yako binafsi, yaani ni ratiba yako tu jinsi unavyoipanga na kuitune. You can make every day is a week end☺️I envy you man
Peleka moto kamanda hapo huelewi nini?Kwani wanaume wenzangu ninyi huwa mnawapa pesa kiasi gani rafiki zenu wanawake wasio wake zenu na wala sio malaya?
Kuna binti nimefahamiana nae kwa almost miaka miwili sasa, jana kanipigia simu tukutane kwamba kuna vitu anataka tuongee, nikamwelekeza sehemu ya kukutania akaja, tukala na kunywa, akanieleza shida yake tukaongea kwa mapana na nikampa ushauri kutokana na shida yake
Mpaka tunamaliza kuongea ilikuwa ni kama saa mbili usiku, nikamwambia tuagane kila mtu arudi kwake na nikampa pesa kiasi cha 80k/=
Baada ya kuwa ameipokea ile pesa akawa ni kama ana hasira na anataka kulia hivi, nikauliza shida nini hakujibu chochote ila kutokana na matatizo aliyokuwa ameniambia nikachukulia easy tu, nikampeleka mpaka kituo karibu na anapoishi akapanda boda kaondoka
Sasa tokea jana hiyo, najiuliza shida itakuwa ni nini haswaa, pesa? Kuna kitu nilikosea ! au nini haswa, wakuu naomba kujua kama kuna mtu amekutana na issue kama hii.
Unataka attention?Mbona kama unamuogopa hivi?🤔
Alafu nikwambie kitu mkuu? Unaweza ukawa katika mazingira rahisi kabisa ya kupata "NGONO" bila usumbufu au bila garama kubwa, ila ukiweza kuyashinda hayo mazingira kwakuamua usitekeleze kile mazingira yanavyokutuma utakuwa umepata FAIDA kubwa mno kiafya, kiakili na hata utimamu wa kimamlaka juu ya mwili wako.Muda unayoyoma sasa nijisogeze mtaani hapa naweza otea mshangazi wekeend ikawa bomba
Attention ma yesss😅Unataka attention?
Niliyokupa haitoshi mzee ?
Nilishavuka sana level za ki faller mwanetu
Nina mtu wangu lakini na huyu dada tunaheshimiana sanaPeleka moto kamanda hapo huelewi nini?
Ndio maana nikakuuliza hapo hujaelewa nini? Huyo anataka moto kamanda jiongeze usituangusheNina mtu wangu lakini na huyu dada tunaheshimiana sana
I'd yako nyingine ni ipi 😆Attention ma yesss😅
Yaani tumetoka kuongelea habari za vifo, magonjwa na matatizo mengine ya familia yake halafu nimkaze!Ndio maana nikakuuliza hapo hujaelewa nini? Huyo anataka moto kamanda jiongeze usituangushe