Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Alafu nikwambie kitu mkuu? Unaweza ukawa katika mazingira rahisi kabisa ya kupata "NGONO" bila usumbufu au bila garama kubwa, ila ukiweza kuyashinda hayo mazingira kwakuamua usitekeleze kile mazingira yanavyokutuma utakuwa umepata FAIDA kubwa mno kiafya, kiakili na hata utimamu wa kimamlaka juu ya mwili wako.
Sio lazima
 
Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Hivi kuna siku uliwahi kuisubiri kwa hamu yaan ukawa na hamuu ya juu sana kupita kawaida?

Umewahi kutokea siku kama hiyo
Vipi siku husika ilivyowadia mambo yalikuaje
Matarajio yako yalikua kweli au ndiyo ulikua disappointed

Kuna kaka alinisimulia alikosea no akasikia sauti ya mrembo sauti laini akavutiwa wakaanza mahusiano kwenye simu basi ikafika wakati waonane mwenyewe anasema enzi hizo hakuna smartphone so kulikuwa hakuna access watumiane picha japo nowadays kuna filter ila walau unapata idea

Sasa wakapanga waonane walivyoonana mwenyewe anasema lahaulaaaaaaa 😲
akaona mmama mkubwa kama mwalimu wa secondary wale wanene

Aliishiwa pozi alichoka hoi alipigwabutwa
Akaapa hatarudia

Basi siku aliyoisubiri kwa hamu na matarajio makubwa ikawa imeharibika hivyo

Vipi wewe imewahi kukuta ?
Ukaishia kujutia muda wako ?

Au ulienda na matarajio ya kawaida tu, kumbe ukakutana na more than you expected ikawa blessing over blessing? 😄❤️

ShesRise_1 🤚
Niliwahi kupigiwa simu na mwanamke mmoja kutoka mtandao wa simu, alinikumbusha kurejesha deni ambalo nilikuwa nimesahau kulipa kwa zaidi ya mwaka. Mwanamke alikuwa na sauti amazing!. Tumeshaona mara kadhaa na ni marafiki hadi wa leo.
 
Niliwahi kupigiwa simu na mwanamke mmoja kutoka mtandao wa simu, alinikumbusha kurejesha deni ambalo nilikuwa nimesahau kulipa kwa zaidi ya mwaka. Mwanamke alikuwa na sauti amazing!. Tumeshaona mara kadhaa na ni marafiki hadi wa leo.
Wow hongera sana 😊
 
Back
Top Bottom