ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,677
- 43,793
- Thread starter
- #121
Aaa ni moro hiyo eehMvomero
Aaa ni moro hiyo eehMvomero
Wadau majigambo mengi lakini hakuna aliyetimiza, ya kwangu utaipata tu ngoja ijae jae kidogo 😄Mi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tu
Vipi amana yangu bro
Doooh 😅Mi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tu
Vipi amana yangu bro
😂😂 usikute umejikopesha amana uliyopewaWadau majigambo mengi lakini hakuna aliyetimiza, ya kwangu utaipata tu ngoja ijae jae kidogo 😄
Matajiri wa JF ni hewa tupu 😅😂😂 usikute umejikopesha amana uliyopewa
Matajiri wa JF kasheshe 😂Matajiri wa JF ni hewa tupu 😅
Utadhani ni BOT ndio huwa zinaandika kumbe ni watu, hata shilingi sijapewa mpaka sasa 😅
U remind me a lot at tandahimba (mtwara) 😊Wapi huko mi nipo tandahimba huku chochii
Usiweke matumaini kabisa 😅Matajiri wa JF kasheshe 😂
Hata sijawahi kukanyaga huko usiniamini sana mkuu 😅😅😅U remind me a lot at tandahimba (mtwara) 😊
Amani
Bondeni
Chakati
Hiyari
Kawawa
Kiwanjani
Kota
Basiiiiii kwishaa mimi 😅Usiweke matumaini kabisa 😅
Usikwisheee 🤣🤣🤣Basiiiiii kwishaa mimi 😅
We lied to our father, Mandala, didn’t we? 😂Hata sijawahi kukanyaga huko usiniamini sana mkuu 😅😅😅
La hasha sifahamuWe lied to our father, Mandala, didn’t we? 😂
SawaaUsikwisheee 🤣🤣🤣
😔😔😔Pole sana funga macho tuombe
Pole
Yaani hii ndio kama unaumwa halafu vyakula vzr vyote umeletewa na huwezi kula😔😔😔Pole
Pole sanaYaani hii ndio kama unaumwa halafu vyakula vzr vyote umeletewa na huwezi kula😔😔😔
Yh maana vitu vingn sio vya kusubirHaivuti kheri tena ?