Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Hahahahahaaaa hilo neno nalitumiaga kwenye thread ambazo sijazielewa au sina cha kucomment, kama mzee wa masikitiko Mbaga Jr
Mm hua nasikitika kweli baada ya kusoma mada za watu, sio kwamba naandika ovyo.

Hata hii comment yako inasikitisha sana 🙆
 
Jizaziiii nimelia sana 😭😭
Baada ya hapo ikawaje sasa ?
Lakini pia umesema alifanana na baba ake copy sio?
Tulikaa pale Ubungo Plaza kulikuwa kuna Hotel inakuwa inaitwa Blue Pearl, tukala pizza na tukanywa juice na akailipia ile menu yote.

Nikajiongelesha na simu lujifanya nina dharura alielewa na yeye kwao ilikuwa ni Kimara huko. Nilipotoka pale nikaamua kumpiga tofali kabìsa lakini nilijilaumu sana
 
Back
Top Bottom