Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Njoo tu refresh tukisubiri wekeend

Miaka flani kipindi kijana niliuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kuna dada mmoja aliwahi kusea namba akanitafta, badae tujaendelea mawasiliano.

Alikua na sauti nzuri sana nikaamini na physical view is directly proportion na sauti ake.

Astarghfiralah !! siku nlio muona nliishiwa pawa alikua kama hyo ID picture ya brother secretarybird .
Nimecheka kwa sauti kubwaaa Wallah 🤣🤣🤣 since morning sijacheka hivi dah
secretarybird huyo mwanamke ni dada ako ?
 
Mwaka 2011 hii iliwahi kunitokea 🤣🤣🤣
Namba ngeni ikaingia , sauti tamu ya Diva , alikuwa binti wa moja ya matajiri wa mabasi ya abiria, nikavutika na sauti. Mpaka nilisafiri tuje kuonana. Stendi ya mabasi ilikuwa Ubungo bado

Siku ya kuonana na mmiliki wa sauti tamu aisee yaani nashindwa hata kumuelezea 😅 kwanza ni mweusi this halafu ana pimples kibao usoni hata cleanser sijui alikuwa haijui ? Mfupi na ana kitambi sijui alikuwa anakula kula hovyo, halafu alikuwa amepaka wave nywele na rangi ya midomo alikuwa amepaka ya kijivu na gauni alikuwa amevaa la dukani (special)

Nilipoteza mzuka kabisa na zile tamaa zote zika cease ghafla. Maana before ilianza na mitongozo na ahadi kedekede. Nikajiuliza huyu baba yake ndio yule tajiri au huyu ni Beki tatu tu ? Lakini mbona sura na Mshua ni copy kabisa ?
Bro ujue nakuheshimu sana 🤣🤣
Ilikuaje kuaje na wewe 🙌
 
Miaka flani kipindi kijana niliuziwa mbuzi kwenye gunia.

Kuna dada mmoja aliwahi kusea namba akanitafta, badae tujaendelea mawasiliano.

Alikua na sauti nzuri sana nikaamini na physical view is directly proportion na sauti ake.

Astarghfiralah !! siku nlio muona nliishiwa pawa alikua kama hyo ID picture ya brother secretarybird .
🤣🤣
 
Back
Top Bottom