Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,505
- 34,250
Wewe utakuua ni mgeni na mimi ohooo😅😅I'd yako nyingine ni ipi 😆
Haya mambo ya kufananisha id ndio yalifanya kamanda akufananishe na feli😅
Wewe utakuua ni mgeni na mimi ohooo😅😅I'd yako nyingine ni ipi 😆
Mimi ni mgeni ndiyo huoni nina kamba mguuni bro 😆Wewe utakuua ni mgeni na mimi ohooo😅😅
Haya mambo ya kufananisha id ndio yalifanya kamanda akufananishe na feli😅
Pole mkuu vipi lakini usalama upo?Kkkkmmmmk
Dah unadharau sana bro 😂😂🙌Daaah nilijiuliza mengi sana 🤣
Mtoto wa Tajiri mbona yupo vile au Baba ana miliki mali za masharti ?
Hayo mabasi bado yapo sana
Haivuti kheri tena ?Subira ya vuta bangi
Fr bro we are focusing on finding life but we forget to enjoy what we have been pursuing for a long time.Thanks bro. Ndio hivyo, kuna baadhi ya majukumu yanakupa muda mwingi wa kupumzika na kufanya mambo yako binafsi, yaani ni ratiba yako tu jinsi unavyoipanga na kuitune. You can make every day is a week end☺️
Hakika 🤝Alafu nikwambie kitu mkuu? Unaweza ukawa katika mazingira rahisi kabisa ya kupata "NGONO" bila usumbufu au garama kubwa, ila ukiweza kuyashinda hayo mazingira kwakuamua usitekeleze kile mazingira yanavyokutuma utakuwa umepata FAIDA kubwa mno kiafya, kiakili na hata utimamu wa kimamlaka juu ya mwili wako.
Hataaa 😅😅😅Dah unadharau sana bro 😂😂🙌
Pole kwa mkasa lakini 😅😅Hataaa 😅😅😅
Sina dharau, ni mtazamo wako na ufikisho wako tu
Location ya kiduka ?Kiduka cha Manka,story nyingi kama vile sie ndio mawakili ,mzaramo anaisha tu
Country mwenyewe kabisa one and only😅Mimi ni mgeni ndiyo huoni nina kamba mguuni bro 😆
Kwani wewe ni Country mwenyewe au wa kuchovya kwenye chumvi
Ndio maana Nimekwambia ujana ni utapeli bado miaka miwili kidogo nifike 4th floor 😂😂😂Pole kwa mkasa lakini 😅😅
Imebaki story
Braza upo ? 😅Country mwenyewe kabisa one and only😅
Uchawi huu kweupeCountry mwenyewe kabisa one and only😅
Mi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tuNdio maana Nimekwambia ujana ni utapeli bado miaka miwili kidogo nifike 4th floor 😂😂😂
wilayaniLocation ya kiduka ?
Wapi huko mi nipo tandahimba huku chochiiwilayani
MvomeroWapi huko mi nipo tandahimba huku chochii