Psalm 103
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 1,659
- 2,689
Tutapunguza tu siunajua tena bado tuna vibe ndo kwaanza tumeanza tunataka tuwe platinum member hadi maxence melo aulize kunan jaman?Punguzeni speed mdogo’etu!
Tutapunguza tu siunajua tena bado tuna vibe ndo kwaanza tumeanza tunataka tuwe platinum member hadi maxence melo aulize kunan jaman?Punguzeni speed mdogo’etu!
Ha ha ha haMimi sijui ku chati
Sio rahisi hivi mtajaza tu server za melo, ila kuwa PM sio kwa style hiyo yenu..Tutapunguza tu siunajua tena bado tuna vibe ndo kwaanza tumeanza tunataka tuwe platinum member hadi maxence melo aulize kunan jaman?
Sema viswaswadu pm ukiingia tunarusha magauni tu... et tunaandika connecting unasubiri mpaka unakata tamaaSio rahisi hivi mtajaza tu server za melo, ila kuwa PM sio kwa style hiyo yenu..
Magauni?? Pm mnaenda kufanya nini, mtatapeliwa mpaka hivyo viswaswadu vyenu! Na mnawezaje? Unajua kutype ilivyo kazi ila nyie mmo tu!Sema viswaswadu pm ukiingia tunarusha magauni tu... et tunaandika connecting unasubiri mpaka unakata tamaa
KUJARIBU si kushindwaMagauni?? Pm mnaenda kufanya nini, mtatapeliwa mpaka hivyo viswaswadu vyenu! Na mnawezaje? Unajua kutype ilivyo kazi ila nyie mmo tu!
Sawa komaaKUJARIBU si kushindwa
Nikishindwa tarud unipe ushauriSawa komaa
Ushauri wangu umeishia hapo!Nikishindwa tarud unipe ushauri
tunachat kwa mada zote au kusalimiana tu?Huu uzi maalum kwa ajili ya kuchati na marafiki zako wa humu n.k ndio maana nika amua ku fungua uzi huu binafsi napenda sana ku chat so kama na wewe unapenda ku chat naku karibisha"" hapa uzi huu ni wa muda wote sio mchana wala usiku ni muda wote"kuna muda uko na mawazo au uko poa hapa kwenye uzi huu utachati na marafiki zako n.k
n.k
WOTE:MNAKARIBISHWA
P mkuu.vp jaama angu
mkuu bado tupo japo uzi uwetelekezwa.Namtafuta wa kuchati nae
Ayse ndo ni mekuja mida hii ngoja jioni sasa nipige mpira hapamkuu bado tupo japo uzi uwetelekezwa.