Napendelea kiswahili ila english lolLikewise to me! so nimeona nianze kuchat na wewe may be i wil know you indeed!
Sawa mkuu... vp mbona unatumia sikio la muazini una maanisha nini mkuu!Napendelea kiswahili ila english lol
Eeeenhe hebu shusha hiyo mistari niisikie 😂 😂Binti wa zamani njoo hapa ili nijaribu bahati yangu,nilienda kozi ya kujifundisha kutongoza,
Hapa nipo kamili huchomoi.
Subiri watoto wakilala tutazogoa kwa uhuru zaidi.Eeeenhe hebu shusha hiyo mistari niisikie 😂 😂
Unajua kwa nini?Sawa mkuu... vp mbona unatumia sikio la muazini una maanisha nini mkuu!
Najua sijuhIla unajua?
😀😀 eeh! Mimi ndio JF expert wa Efootball basiUnajua tu EFOOTBALL sio 😅
ahahahahaaaUnajua kwa nini?
natumia sikio la muazini Psalm 103 Nilikua sijui ku join mtandao wowote sasa nilijaribu majina mbalimbali mara paap ikakubali Sikio la muazini Ndo nikajaribu account ya pili ikakubali
Viswaswadu jau sana duh!ahahahahaaa
The same to me niliweka psalm 23 ikakataa nikaweka dopamine jr ikakataa ndo ikaka kukubali psalm 103
Ila vina raha yake havitumii mb nyingi yan kama ni jf tu kwa siku unatumia mb 1 tu!Viswaswadu jau sana duh!
Mmekutana pipa na mfuniko!Ila vina raha yake havitumii mb nyingi yan kama ni jf tu kwa siku unatumia mb 1 tu!
Kwanini mkuu?Mmekutana pipa na mfuniko!
Mnachat kama tutoto twa shuleKwanini mkuu?
Ahahahahahahaaaa duh! one day yes, halafu nashusha na screenshot mbona mtanikoma kila Comment na attachmentMnachat kama tutoto twa shule
Punguzeni speed mdogo’etu!Ahahahahahahaaaa duh! one day yes, halafu nashusha na screenshot mbona mtanikoma kila Comment na attachment