Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

Magari ya kukodisha

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
412
695
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo
Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Arusha
Kilimanjaro
Mbeya
Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa sehemu za kutembelea zitakazoendana na bajeti yako

Au tupigie 24Hrs
+255715999661

Tembea ujionee uzuri wa nchi yako.

 
Tupigie 0715999661 kwa mahitaji yako ya magari ya kukodisha

Tupo Dar, Arusha, Moshi Mwanza Dodoma na Mbeya

Pia tunaanda tour za wanafunzi kwa umakini mkubwa
 

Attachments

  • 20230408_182603-01.jpeg
    674.2 KB · Views: 18
  • 20230408_182450-01.jpeg
    953 KB · Views: 18
jipambanue vizuri.. jiuze vizuri uuzike.. weka maelezo ya kutosha, fanya kama ndio unapost kipeperushi mtandaoni
 
Mkuu toa maelezo ya kutosha, mnapatikana wapi, kampuni yenu inaitwaje, fleet yenu ya magari ikoje, hapa unaweza kutaja make and model, price range kwa kila model na event yake kama harusi, msiba, sherehe nyingine zozote ama matembezi.

Mkuu wewe ni ndio marketing manager wao ama wewe ndio mkurugenzi?
 
Kwasasa tunatoa huduma ya kukodisha magari kwa ajili ya harus kusafirisha msiba, wanafunzi wanaokwenda study tour tumewaandalia hostel za kufikia kwa baadhi ya kanda,lakini pia tunatoa huduma ya usafir kwa vikundi vya watu wanaotaka kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine

Kwasasa hatuna huduma ya self drive

Gharama zinategemea na aina ya kazi safari yako hivyo inakuwa ngumu kupanga bei ya pamoja kwasababu kila mmoja ana aina yake ya safari

Tupo Dar es salaam Mwanza Arusha Moshi Dodoma Mbeya

0715-999-661
Twitter @magariyakukodi
Instagram @magariyakukodisha2023
Tiktok @magariyakukodisha
Jahkiss9@gmail.com

 
 
Karibu tunajihusisha na kukodisha magari ya aina mbali haswa tumejikita kwenye mabus ya kusafirisha msiba ,magari kwa ajili ya harusi ,magari kwa ajili ya tour mbalimbali....ofisi zetu zipo Dar ,Arusha ,Moshi,Mwanza,Dodoma na Mbeya

Tupigie 0715-999-661.

 
Habari
Tunajihusisha na ukodishaji magari aina mbalimbali ispokuwa magari ya mizigo


Tunatoa huduma za usafiri kwa shughuli kama harusi sherehe mbalimbali kusafirisha misiba safari za mbugani

Tupigie au chat nasi whatsapp
0715-999-661
 

Attachments

  • 255712017907_status_034318f219b54897a4d977fae33e97da-01.jpeg
    62.8 KB · Views: 6
  • 20230719_135303783-01.jpeg
    2.1 MB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…