Wananchi wa Njombe mjini wametangaza kupotelewa kwa Mbunge wao wa Njombe Kusini huko Dar na wametangaza zawadi nono kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mbunge huyo au wapeleke taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilichopo jilani kwa wale wenye taarifa za Mbunge huyo.