Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Njombe napo hoteli zinajaa au wanakutia ndimu tu!Hawa jamaa Glory Hotel hawana space wanadai zimejaa mkuu 60,000*30=1,800,000 mshahara wa mwalimu wa sekondari miezi minne na nusu..
Sent using Jamii Forums mobile app