Mentor wenu
Member
- Jan 13, 2025
- 6
- 9
- Thread starter
- #41
Nabeba jiko hili2, 3, 1 haya kijana chukua jiko chap ila huyo 2 ndo mkali zaidi
Nabeba jiko hili2, 3, 1 haya kijana chukua jiko chap ila huyo 2 ndo mkali zaidi
Hahahaha.. chura wanazo woteOa mwenye chura
😆Weka picha mjongeo tukuchagulie jiko usisahau namba zao za simu
Ndioo tiktokHuyo celeb wako ni wa tiktok?😂😂😂😂
Anyways kataa ndoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndioo tiktok
Umecheka balaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Excellent responseUsioe maana huna akili. Jambo dogo hilo kama huwezi kulifanyia maamuzi ndio basi tena.