Kunywa na ya alovela glas 2 kla baada ya masaa 4
Utakapo kunya fundo moja la juice utapata utulivu
Ha ha haaaaaHa ha ha mbavu zangu...
Dingi hakumpa kichapo
Amshauri Obama sababu ye ndo mkuu wa inchimfano, MAREKANI ina hasira sana na IRAN juu ya suala la nyuklia na matumizi ya mabavu kwa raia wake,
je, unashauri nini hapo?